balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
Bidhaa zote hizo ni ghafi,Mexico viwanda avitoe wapi joh?Mbona kuna wa Tz wanasafirisha unga China ,Malaysia,India nk ina maana unataka Ku conclude Tanzania inauza unga tu
Hizo unga zinalipiwa kodi kwani si zinaingizwa kimagendo..
Kwani Mexico viwanda hakuna Joh??
Mexico ndio nchi ya 3 Ku export bidhaa nyingi USA wame export thamani ya $236 billion last year
Sasa solution unayo unauliza nini tena; ila ujue mazingira yako na jirani yako ni tofauti na ya huko USA na Mexico.