Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 122
- 186
jirani yangu nilimwambia awafungie Ngombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nikatuma chief na mzee wa mitaa hakuskia, nikatuma baba yake mzazi hakuskia.
Mimi nikanunua dawa iko na sumu nikapiga mahindi yangu ndani ya shamba langu, kama kawaida wale ng'ombe wakakuja wakala na wakafa wote. Kuna makosa nimefanya....?