Jirani yangu nilimwambia awafungie Ng'ombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nimeamua kujilinda

jirani yangu nilimwambia awafungie Ngombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nikatuma chief na mzee wa mitaa hakuskia, nikatuma baba yake mzazi hakuskia.

Mimi nikanunua dawa iko na sumu nikapiga mahindi yangu ndani ya shamba langu, kama kawaida wale ng'ombe wakakuja wakala na wakafa wote. Kuna makosa nimefanya....?
View attachment 3209335
Jiandae kutoa Mix by yas
 
Sakho Kwa Bakho
 
Kwa ulivyo muungwana basi ungemwambia pia kama unaweka mazao yako dawa
 
Nimemuona jirani yako na wanae wakiume 4 wananoa mapanga. Sijajua wanaenda shambani kwako au wanakuja nyumbani kwako. Wee kaa na dawa hiyo uwasubiri
 
jirani yangu nilimwambia awafungie Ngombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nikatuma chief na mzee wa mitaa hakuskia, nikatuma baba yake mzazi hakuskia.

Mimi nikanunua dawa iko na sumu nikapiga mahindi yangu ndani ya shamba langu, kama kawaida wale ng'ombe wakakuja wakala na wakafa wote. Kuna makosa nimefanya....?
View attachment 3209335
Sio kweli braza ng'ombe hawafi palepale acha longolongo
 
Back
Top Bottom