The Initiator huru
JF-Expert Member
- Dec 4, 2017
- 1,993
- 2,635
Jiandae kutoa Mix by yasjirani yangu nilimwambia awafungie Ngombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nikatuma chief na mzee wa mitaa hakuskia, nikatuma baba yake mzazi hakuskia.
Mimi nikanunua dawa iko na sumu nikapiga mahindi yangu ndani ya shamba langu, kama kawaida wale ng'ombe wakakuja wakala na wakafa wote. Kuna makosa nimefanya....?
View attachment 3209335