Lugano Edom
Senior Member
- Dec 2, 2021
- 122
- 186
Ubaya ubwelajirani yangu nilimwambia awafungie Ngombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nikatuma chief na mzee wa mitaa hakuskia, nikatuma baba yake mzazi hakuskia.
Mimi nikanunua dawa iko na sumu nikapiga mahindi yangu ndani ya shamba langu, kama kawaida wale ng'ombe wakakuja wakala na wakafa wote. Kuna makosa nimefanya....?
View attachment 3209335
Kosa lako ni kuua Ng'ombe badala ya mwenye Ng'ombe.jirani yangu nilimwambia awafungie Ngombe wake waache kuniharibia shamba hakuskia, nikatuma chief na mzee wa mitaa hakuskia, nikatuma baba yake mzazi hakuskia.
Mimi nikanunua dawa iko na sumu nikapiga mahindi yangu ndani ya shamba langu, kama kawaida wale ng'ombe wakakuja wakala na wakafa wote. Kuna makosa nimefanya....?
View attachment 3209335
kakojoe ulale pumbavuMbowe must Win... Tundu must go to Belgium
sawa nipe tgo nikukojolee nilale 😊kakojoe ulale pumbavu
sawa nipe tgo nikukojolee nilale
GruuuuuHaha kamba hii
Bibi shkamooMmmmh
Oya umeona kamba hii ya ng'ombeGruuuuu