Jirani yangu wa kike simuelewi kabisa

Amekuvunjia barafu kazi kwako kuuchimba mgodi, wape namba wadau yk humu hahahaa
 
Hii ya 2 aishike sana, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ushasikia jamaa ake ni mjeda, afu wee bado unajiresi resii.
Kunae siku utaomba maji, na utapewa bapa cha chupa ya safari shavunii

Wee neng'enekaaa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muulize vizuri kama huyo mwanajeshi sio Shabiki wa Ajax Amsterdam, kama sio basi endelea naye.
 
Sipendi kumuharibia jamaa. Nimefika ring kodi ikiisha nihame kimya kuepuka hili.
Ndio uzuri wa akili zetu Huwa na departments zote, vurugu,ushauri na ukichaa pia, sikiliza maoni ya hii department,ikiwezekana mpandishe cheo mkuu wake wa idara ,,fuata huu ushauri,
 
Akili kumkichwa wengine wanachinjana kwa hiyo mambo amua ama kusuka ama kunyoa,bomoa ama usibomoe,ila jua vyote vinaweza kuwa na matokeo.
 
Tafuta kwanza Gono afu ndo umuache
 
Muulize huyo mwanajeshi wake kama binti anakupenda au la. Utapata majibu sahihi.
 
Asipoelewa hapa ndo basi tena
 
Usichoelewa ni kipi hapo ww acha kutufanya wajinga,Kam sio tamaa ni nn?ckia hebu vaa uhucka wa huyo mjeda hpo utapat jb kamil.vingnevyo tunategemea connection nyngine mitandaon
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…