Jirani yangu wa kike simuelewi kabisa

Nimecheka
 
Hama kabisa hiyo ni nuksi sana . Hama hama nenda sehemu ambayo kuna watu wachache na wenye akili. Waliokuja kutafuta maendeleo . Wazee i mean hao safi kabisa
 
Hama kabisa hiyo ni nuksi sana . Hama hama nenda sehemu ambayo kuna watu wachache na wenye akili. Waliokuja kutafuta maendeleo . Wazee i mean hao safi kabisa
mie nina swali jamani labda kwa kuwa mie mbumbumbu na nyie ni magreat thinker mnaweza kunifumbua macho.
wanaotafuta maendeleo ni yapi hayo kama sio mbususu. yaani maendeleo naona yanakuwa measured na pesa which is a means to attract punani sasa jamaa hapa alishapewa hayo maendeleo (punani) ahamie wapi tena huko kwenye maendeleo
 
Bila shaka huyo sio bikra!! Analazimisha mtu mpumbavu ambae ataacha mademu waliojisitiri aje amuoe yeye malaya!
Amka kijana! Mwanamke wa kuoa ni yule tu aliyeweza kujisitiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…