Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 20,694
- 32,527
Peleka moto tu mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja uingie kwa lineMatisho hayo
Shetani wewe...😬😬😬😬Km wee unavyopakwa na mishangazii koko [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya yote lakini usithubutu;
1. Kutembea na mwanamke mliopanga nyumba moja. Zigo la kodi yake na majukumu yote yake litakuwa lako na uhuru wako ndio bye bye.
2. Kuamini mwanamke anaekwambia hampendi bwana ake lakini yupo nae. Tena mjeda, utapigwa mbupu na maji kunyimwa.
Ndio mkuu sii unaona yule Dada mpishi anavyowachezea na kuwapotezea muda vijana wa watu 🤔Hahaa kumbe wanawake huwa wanachezea wanaume?
Kwendraaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Shetani wewe...[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
mbususus ni kama pesa haisuswi kamweKweli mkuu?
mie nina swali jamani labda kwa kuwa mie mbumbumbu na nyie ni magreat thinker mnaweza kunifumbua macho.Hama kabisa hiyo ni nuksi sana . Hama hama nenda sehemu ambayo kuna watu wachache na wenye akili. Waliokuja kutafuta maendeleo . Wazee i mean hao safi kabisa
😂😂😂😂😂 Mwenyewe unafurahiaga mambo ya dhambi mbwa weweKwendraaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nakazia hapautapigwa mbupu na maji kunyimwa
Bila shaka huyo sio bikra!! Analazimisha mtu mpumbavu ambae ataacha mademu waliojisitiri aje amuoe yeye malaya!Wadau hope mko poa
Mimi nimehamia nyumba ya kupanga hivi karibuni. Nyumba hii inawapangaji wengi vijana wakike na wakiume.
Sasa mpangaji ambaye chumba changu kimetazana na chake ni binti mrembo sana. Ni binti ambaye toka siku ya kwanza nimefika kwenye hii nyumba amekuwa akinichangamkia sana. Mimi nafanya kazi naondoka asubuhi sana na huwa nachelewa mno kurudi. Ananijali sana katika vitu vya kawaida, mfano anaweza kuniletea chakula, kuna siku ananisaidia kujaza maji kwenye ndoo nk. Siku zingine huniambia amekuwa pekee na anahitaji kampani basi nitaenda kwake tutaangalia movie nk. Kiufupi anajihisi furaha akiwa karibu nami, ndivyo anavyiniambia.
Najua ana mtu wake na kuna siku huyu jamaa yake alikuja. Ni kwamba huyu binti alikosa ule uchangamfu kipindi jamaaa yake yupo
Sasa juzi kati hapa kanifungukia kuwa ananipenda sana na anatamani kila muda awe karibu na mimi sababu anaona mimi ni mwanaume nisiye na mambo mengi yaani tabia ya kuwa na wanawake ovyo sina. Nilivymuhujoji kuhusu jamaa yake akadai ni hampdndi anajilazimisha. Na pia akasema jamaa yake ni mwanajeshi hivyo muda mwingi huwa anaenda nje ya nchi na amesha sema waachana ila jamaa king'ang'anizi
Kiufupi demu ni mzuri sana, ila sasa mimi simuelewi kabisa hasa ukizingatia najua ana mtu. Sipendi kumuharibia jamaa. Nimefikiri kodi ikiisha nihame kimya kuepuka hili. Kingine wanaume ambao tuko mbali na wake na wapenzi wetu tuwe makini asee.
Niamue kipi, nipotezee na kuhama au niibomoe hii mali?