Abou Shaymaa
JF-Expert Member
- Oct 19, 2022
- 1,479
- 3,229
Bembela kafa!!?Baadae usiku, nitajitahidi tuendelee.
Lahhaina haja
Jioni nitaipitia taratibuu....That Gentleman Bae unapitwa sana jamani.
Mama bembelaaaaa[emoji24][emoji24][emoji24]Yule Jirani yangu wa Goba hakuwa mtu wa kawaida - Bonus ya usiku ulopita.
Katika majira ya saa mbili kasoro usiku, nilitoka kazini nikipanga kwenda kwanza nyumbani, Goba, alafu ndo' niende kule Afrikana kuungana na familia yangu. Sababu ya kufanya hivyo ilikuwa ni kumtimizia Bembela takwa lake kisha nimwache aendelee kufanya kazi yake kwa usiku huo.
Nilipofika nyumbani, nilitafuta ile sarafu ya hamsini pale kwenye droo ya kitanda, sikuiona, nikakung'uta nguo zangu nilizozivaa karibuni, napo pia sikuambulia kitu, zote zilikuwa kavu mifukoni, nikatazama chini ya kitanda tena kwa kumulika na tochi ya simu yangu, sikuona kitu.
Nikaketi nikijaribu kuwaza, wapi nimeweka pesa hiyo ya sarafu? Nilifanya kila kumbukumbu na niligusa kila eneo langu la michezo lakini bado sikufua dafu.
Kidogo wazo likanijia, nikague nguo za mwanangu, haswa zile nguo ambazo alizivaa hapa karibuni, basi nikafanya hivyo kwa upesi, japo kumbukumbu yangu ya nguo zake haikuwa vema sana, nadhani zoezi hilo angelifanya mama yake lingekuwa na ufanisi zaidi kuliko mimi. Nilitazama nguo hizo moja baada ya nyingine lakini napo sikupata kitu! Sasa nikakaribia kukata tamaa. Taratibu nikaanza kuwaza huenda pesa ile haimo ndani.
Nikiwa hapo nawaza, kama bahati tu nikasikia watu wakiwa wanaongea huko nje, walikuwa ni wanawake katika bomba la maji, sauti ya mmojawapo ikanipatia wazo, nayo haikuwa ya mwingine bali ya Mama Tarimo, upesi nikatoka ndani kwenda nje kuonana naye, nilipomfikia nikamuuliza, japo kwa taabu sana kwasababu ya mdomo wangu kuuma, kama amepata kuona popote pale mwanangu akiwa na sarafu mpya ya hamsini, akanijibu hakupata kuona.
Lakini wakati naondoka, akaniita na kuniuliza kuhusu sarafu hiyo, alistaajabu ni kwanini naitafuta maana haiwezi kunipa chochote kwenye duka la sasa, nikamweleza nilikuwa na kazi nayo fulani, kazi ambayo mimi sikutaka aifahamu kwa muda huo, lakini ajabu, wakati nikiagana naye nipate kwenda, aliniambia: "lakini ninazo sarafu zingine kama hiyo unayoitafuta."
Nikasita nikimtazama, naye akatazama watu wengine kabla hatujasogea kando kidogo tupate kuongea. Huko pembeni akaniambia jambo ambalo lilinistaajabisha kidogo, mama huyo alisema anazo sarafu kama ishirini hivi za shilingi hamsini hamsini, sarafu mpya kabisa kana kwamba zimetoka benki muda huu, mimi upesi nikamuuliza sarafu hizo amezitoa wapi? Kwa sauti ya chini akanijibu alimwona nazo mwanaye mdogo, naye alipomuuliza akasema alipewa na yule mtoto wa BIGI mwenye matatizo ya akili.
Aliniambia, "yule mtoto huwa anakuwa na hizo sarafu kedekede anawagawia wenziwe wakiwa naye, siku ya kwanza niliziona nikazipuuzia lakini kadiri nilivyokuwa naziona tena mara kwa mara, nikaanza kuzitunza, hata sasa ninazo kama za alfu mbili hivi!"
Nikamuuliza kama pesa hizo ameshawahi kuzichanganya na pesa zingine, akaniambia hajawahi kamwe, pesa hizo amekuwa akizitenga mbali kabisa na pesa zake za kila siku kwani alizihofia na hakuziamini kabisa.
Hofu hiyo ikanipa mimi maswali - nini kilimfanya akahisi mawazo hayo? ... Nadhani aliusoma uso wangu wenye maulizo akaamua kufunguka mwenyewe, akaniambia namna mume wake alivyokuwa na mashaka juu ya yule jirani yetu na alishamweleza mambo kadha wa kadha kabla hajapata kulala kwenye kitanda cha hospitali kwasababu ya ajali.
Baada ya maelezo hayo, nikaongozana naye mpaka kwake, akanipatia sarafu tano za shilingi hamsini, sarafu ambazo zilikuwa zinang'aa kana kwamba lulu, kisha akanitakia mema na hicho ninachoenda kufanya nazo, mimi kutoka hapo nikaenda moja kwa moja kwenye mlango wa Bembela, nikagonga na punde mwanamke huyo akanikaribisha mpaka ndani.
Humo nilimkuta akiwa na mwanamke mwingine ambaye mimi sikuwa namfahamu, mwanamke huyo ni mzee wa makamo ya miaka hamsini na kitu hivi, Bembela akanitambulisha kuwa ni shangazi yake, na mwanamke huyo ndiye aliongozana naye kwenda huko Tanga kwa mtaalam hivyo basi mimi niwe huru mbele yake.
Lakini mbali na hilo, kwasababu uso wa mtu haujifichi kama sehemu za siri, Bembela aliniona na alistaajabu kuhusu mdomo wangu ulopinda, alinihurumia sana namna ninavyoongea na namna nilivyohisi maumivu nikifanya hivyo lakini akaniahidi yote yatakuwa sawa muda si mrefu.
Alisema, "najua hii ni kazi ya mikono yake, hamna mtu mwingine, ila mwisho wake sasa umefika, atalipa yale yote aliyoyafanya!"
Mwanamke huyo alinieleza mambo mengi ya pale nyumbani, mambo ambayo alipata kuyaona kule alipokuwa kwa mtaalamu, jinsi gani bwana BIGI alivyofanikiwa kugusa kila mlango wa kila nyumba hata wengine wakiwa hawana ufahamu mpaka sasa, lakini katika yote alokuwa ananieleza, mimi likanigusa sana jambo la bwana Tarimo na la jirani mwingine mmoja ambaye kazi yake ilikuwa ya kiwandani, Twiga Cement, nikaamini kweli hasidi haitaji sababu. Bwana huyo, pamoja na kazi yake kuwa ngumu na ya kutaabika kiwandani, hakuwa anaionja pesa yake hata thumni. Kila alipokuwa akipata ujira wake, matatizo yaliamka kutoka kila kona nane za dunia yakamwandama na kumwacha mtupu!
Haikujalisha namna gani alihangaika na kujipanga, hakuwahi kutoka katika huo mtego kamwe.
Akiwa ananieleza hayo, mara kidogo mlango ukagonga na kufunguliwa, kutazama alikuwa ni shoga yake na Bembela, sasa nikaona ni muda wangu sahihi kuondoka, nilisimama kumpisha maana sehemu ya kukaa ilikuwa finyu kisha nikawaaga niende zangu, hapo tayari nishamkabidhi Bembela mzigo wake wa zile sarafu.
Kabla sijatoka, Bembela alinikabidhi kimfuko kidogo cha 'nylon' kilichofungwa fundo moja kubwa, ndani yake kuna unga laini wa kahawia, akaniambia, "kachanganye dawa hii na maji yako ya kuogea, utakuwa unaoga asubuhi na jioni, ni dawa ya kujisafisha na dhalili zote zilizowekwa na mtu mbaya, tena ni vema ukampatia mke wako na mtoto wako."
Nikamshukuru kisha nikaenda zangu. Niliwasha pikipiki moja kwa moja mpaka maeneo ya Afrikana, Mbezi Beach, kabla ya kwenda nyumbani nikaona ni stara kupitia kwenye duka moja la dawa kuchukua dawa fulani za maumivu kwaajili ya taya zangu. Kwasababu nilipitia njia ya 'Kwa Zena' niliingia pale 'Yes Pharmacy', moja ya famasi kongwe eneo lile, nikaeleza hitaji langu, lakini punde mfamasia aliponiona na hali yangu akaanza kunipa maelezo kedekede, maelezo ambayo kwakweli yalinitisha sana.
Aliniuliza kwanza najiskiaje na miguu na mikono yangu,vidole na maungo yangu, kisha akaniuliza tena najiskiaje ninapotembea, nilipomwambia nimekuja na pikipiki akastaajabu sana, aliniambia niende hospitali haraka kwani yawezekana kabisa nipo kwenye hatari ya kupata kiharusi, hemiplegia, basi nikaondoka hapo nikiwa ma msongo wa mawazo kweli.
Nilipowaza pia na nyumbani ninapoenda itabidi nikaanze kutoa maelezo ya nini kimenikumba na huu mdomo, nikachoka zaidi.
Nilipofika nikamweleza mama na mke wangu yale yalonisibu alafu nikapata kwenda kitandani mapema kabisa kabla baba hajarejea maana nilijua ningeanza kurudia tena maelezo ambayo tayari nimeshayatoa, lakini katika yote hayo niliyoeleza sikusema lile la famasi kamwe, niliona itakuwa nongwa kubwa nikilitamka, watu watajawa na hofu kisha wakaniparamisha.
Lakini usiku huo mimi sikupata usingizi kabisa, nilikuwa najigeuza huku na huku nawaza, najigeuza kule kule nawaza, najigeuza hapa na pale maumivu.. najiuliza hali yangu na yale yanayoendelea nyumbani.
Nilikuja kupata usingizi saa kumi na moja alfajiri, nakuja kuamshwa baadae na mke wangu, majira ya saa tatu asubuhi, baada ya simu yangu kuita mara kadhaa na yeye kupokea simu kutoka nyumbani, yani kule Goba.
Aliniambia amepigiwa simu hiyo na jirani Mama Tarimo ya kwamba nyumbani kuna taarifa mbaya. Kusikia hivyo, moyo wangu ukaruka pigo. Nilijikuta akili yangu inafikiria upesi kila kitu cha jana yake, kabla sijaanza kutunga yatakayokuwa yamesibu huko, akaniambia ni taarifa za msiba.
Kuna mtu amefariki usiku wa kuamkia siku hiyo.
sophy27 Lucha Shunie Lovelovie Jane Msowoya Watu8 Valentina DepalYule Jirani yangu wa Goba hakuwa mtu wa kawaida - Bonus ya usiku ulopita.

Yule Jirani yangu wa Goba hakuwa mtu wa kawaida - Bonus ya usiku ulopita.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Big up sana kiongozi, uko vizuri!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Haya basi mpangie aache kazi zake atupie ili ufurahi mkuu!!
RIP bembelaYule Jirani yangu wa Goba hakuwa mtu wa kawaida - Bonus ya usiku ulopita.

Tarimo alipona mkuu?Kaka, mimi ni binadamu na ninaishi mazingira hayohayo ambayo nyinyi mnaishi na hii story sijaiandika nikaikamilisha kiasi niweze kuituma muda wowote ninaotaka, ni kwamba naandika na kutuma, hivyo muda mwingine naweza nikalenga kutuma muda fulani lakini nikatokea kushindwa kwasababu tofauti tofauti, sasa siwezi kufupisha ama kutuma nusu, nitalazimika tena nikipata muda niendelee kuandika kisha ndo nitume.
Sio kila muda nakuwa na simu mkononi, na sio kila muda ninaotaraji kuwa na simu mkononi kwa muda wa kutosha basi inakuwa hivyo. I am not an automatic robot. Najitahidi kadiri na muda wangu kuja kumfurahisha huyo mtu anayenitukana matusi ya nguoni na hata wengine ambao hawajahi kucomment lakini wanapenda kusoma vilevile, kususa sio haiba yangu, na jambo hili nililianzisha mwenyewe, nitalimaliza mwenyewe. Muda mwingine ni aibu kusemasema kila kilichokukuta na unachopitia, unanyamaza tu then unaendelea, unawatazama watu ukiamini kilichowajaa ndicho kinachowatoka.
@Yule Jirani yangu wa Goba hakuwa mtu wa kawaida - Bonus ya usiku ulopita.

TayukwaYule Jirani yangu wa Goba hakuwa mtu wa kawaida - Bonus ya usiku ulopita.

Keep on Sharing your talent Bro!Kaka, mimi ni binadamu na ninaishi mazingira hayohayo ambayo nyinyi mnaishi na hii story sijaiandika nikaikamilisha kiasi niweze kuituma muda wowote ninaotaka, ni kwamba naandika na kutuma, hivyo muda mwingine naweza nikalenga kutuma muda fulani lakini nikatokea kushindwa kwasababu tofauti tofauti, sasa siwezi kufupisha ama kutuma nusu, nitalazimika tena nikipata muda niendelee kuandika kisha ndo nitume.
Sio kila muda nakuwa na simu mkononi, na sio kila muda ninaotaraji kuwa na simu mkononi kwa muda wa kutosha basi inakuwa hivyo. I am not an automatic robot. Najitahidi kadiri na muda wangu kuja kumfurahisha huyo mtu anayenitukana matusi ya nguoni na hata wengine ambao hawajahi kucomment lakini wanapenda kusoma vilevile, kususa sio haiba yangu, na jambo hili nililianzisha mwenyewe, nitalimaliza mwenyewe. Muda mwingine ni aibu kusemasema kila kilichokukuta na unachopitia, unanyamaza tu then unaendelea, unawatazama watu ukiamini kilichowajaa ndicho kinachowatoka.
Ila punguza kupuuza mawazo ya wachangiaji sasa hivi tunaenda tu kama ng'ombe na hizi story zako kwani tangu uanze kutoa hivyo vi bonus imekua ni ku bahatisha tu ,Tafadhali endelea mtindo wa Episode wa nambaBaadae usiku, nitajitahidi tuendelee.
Endelea weweIla punguza kupuuza mawazo ya wachangiaji sasa hivi tunaenda tu kama ng'ombe na hizi story zako kwani tangu uanze kutoa hivyo vi bonus imekua ni ku bahatisha tu ,Tafadhali endelea mtindo wa Episode wa namba
Asante kipenzi