Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Endelea wewe
Dogo janja vipi ,huoni kama anazingua kisha anajizingua pia nae? Mimi nimemshauri aifanye kazi yake ki smart zaidi kwa kuzipa namba episode zake kama hapo mwanzo,
Kuna vizazi vijavyo vitasoma uzi huu miaka 50+ ijayo ...kama enzi za hard copy waliweza kuhifadhi kazi ya Fasihi kwa mtiriiko mzuri, inakuaje ndugu SteveMollel asishauriwe ktk mambo positive kwa manufaa ya vizazi vijavyo?
Diwani Punguza utoto au kama ni ushamba Bora ukae kimya,sina lugha nzuri kwa wavulana kama wewe...
 
Jamani Mimi nineishia namba sita naomba mwenye kujua namba Saba na kuendelea nazipata wapi? Msaada tafadhari [emoji120]

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Mkuu nenda post ya kwanza kabisa kule juu na sijui unatumia app au browser kama ni app inakua rahisi zaidi. Ukifika post ya kwanza scrow hadi chini utaona link ya episode inayofuta endelea hivyo hivyo hadi ukute episode ambayo hujaisoma.
 
Mzee uandishi wako ni mzuri ndio maana watu wanaleta kelele mingi hapa, chakufanya wewe andika ukipata muda na sisi tutasoma tu kwasababu anaeijua hii story ni wewe. Usikubali watu na comments zao waanze kukulazimisha kufanya kitu ambacho hujadhamiria kaka. sisi tutasubiri tu, tunaingia ofisini tunacheki kama umeendelea kama bado tutasubiri tu na tukifika nyumbani tutacheki kwenye simu zetu kama umeendelea but kama bado wewe take your time na ufanye mambo yako then ukipata muda tuandikie tu cz tunasubiri kiongozi.
Nakusemea kwa boss unatumia internet ya ofisi kuperuz[emoji125][emoji125][emoji125]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Episode ya 7 haina link ya episode ya 8.Mwenye kujua inapopatikana episode ya 8 masada
 
Tunajua itashushwa Valentina ila kama unajua nafasi yako ni ya shida kutokana na mihangaiko mingine inakuwaje unaleta uongo kuwa utashusha stori baadae kisha unapotea?,tena unasema utashusha usiku mkali,wajuba hawalali wanasikilizia huo usiku mkali kisha hola,kwa nn asipige kimya tu hadi atakapopata nafasi
Najua vile arosto inavotesa

Lakini tujitahidi kuvumilia dear maana nae ni binadamu ratiba yake inabana kama alivosema

Ukipata arosto njoo kule chitchat tuchit chatike kuvuta muda huku tukisubiri episode inayofata

Usikubali kua na makasiriko madogo madogo kama haya mpenzi msomaji[emoji9]

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom