Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

leadermoe kitalembwa alubati Tyrone Kaijage ERoni naombeni samaree ya tatu za mwisho wakuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz....

Kiranja ulikuwa wapi!?

Jeshi la kukodi la Bembela aka Tanga Warner group limeiangusha ngome ya BIGI, maiti ya mtoto wa bigi imepotea mochwari na hamsini hamsini zake zimepotea kwa Mama Tarimo, Bembela kagonewa na matokeo anataka peleka ulozi kwa biashara.

What next mtoto wa Bigi atarudi kivingine? Bigi na mkewe wame dead au na wao watapotea kwenye gari ya baba mwenye nyumba, ndio tunaelekea hospital hapa ila [mention]SteveMollel [/mention] kaogopa kupanda garini safari hii [emoji23].
 
Nilikua selo ndugu mjumbe naona kwa Big mambo ni bampa to bampa weka kigingi niweke jiwee weka ugoko niweke chumaaa malaika kageuka shetaniii haponi mtuuuu!! Bembela nukseee sana hauna mawasiliano yake nitoe watu uti wa mgongo kwanza???πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!
 
Mkuu ilikuwaje ukala ban? emu anzisha thread uweke episode kama tano au sita hivi, roho iliniuma sema sikua na namna ya kukusaidia cute.
Acha tu mpendwa. kiukweli nilionewa mkuu thanks God ila lile nalo lishapita acha tumalizie vi episode vilivyobaki. kweli Big amepatikana! Naona Bembela ana usshhuunggguuu sio wa nchi hii! Anataka rithi mkoba wa Big etiπŸ˜‚!
 
Miss you shangazi wangu 😘😘... goja nimsome Big .. vizuri sana nilisoma kidogo ulivopotea na mie nkapotea
Miss you too mjombaa kule hadi march ndio ntafunguliwa! Isome story yaukweli sana yenye mafunzo ndani yakee!! Sema hii haina vile vitu vetuu uuuusssssshhuuuunngguuuuπŸ˜„! Hapa Kuchawiana mwanzo mwisho!!
 
Acha tu mpendwa. kiukweli nilionewa mkuu thanks God ila lile nalo lishapita acha tumalizie vi episode vilivyobaki. kweli Big amepatikana! Naona Bembela ana usshhuunggguuu sio wa nchi hii! Anataka rithi mkoba wa Big eti[emoji23]!
I guess episode inayofuata vyenyewe ndio ya mwisho mbivu na mbichi zitawekwa bayana, pole sana the platform has never been fair. Tuishi hivyo hivyo.
 
Heeeeeeeehhh kupita mlangoni na mlango umefungwa? Duuuuuhhhh! Dunia ina mauzauza sio poa mkuu!!

Sasa juzikati nilipata Binti wa kazi kwao walikua walozii nyieeee πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ!
Ni alikua anatokewa na mauzauza hadi nilimrudisha kwao ghafla tu sikuwaziii na namna!

Eti mtu mmelala ndani Usiku binti yeye anasikia geti kama linagongwa gongwa kwanguvu na chuma muda mwingine kama linatikiswatikiswa ile ya kudisturb mtu alielalaa sasa hapo anayesikia hivo ni yeye tu sasa unamsikia binti anafungua ili aone nani anapigapiga vile yeye anavofungua mlango unamsikia unatoka kumuuliza anafungua kwenda wapi?? kufanya nini?? Anakusimulia anavosikia hapo wewe hata huoni wala kusikia chochote unabaki kutoa macho tu. Siku nyingine anatokewa na watu anawaona wanaelea juu ya kichwa chake mara awaone juu ya dari huko watu wawili wamejifunga mabegani kama mashuka mekundu kichwani hadi usoni wamejipaka maungaunga meupee anakwambia anawaona wanamwita kwa kurudia rudia ' Noela njoooo Noela njoooo Noela njoooo' ivoivo huku kama wanamvuta sasa kuna muda unasikia anaongea nao kama wanabishana hivi kuna siku nivomsikia nikashtuka kutega vizuri sikio nasikia mtu anaongea kwanguvu chumbani kwakee nikaamka kwenda kuangalia ninini anasema tangu alivoenda kulala tu hajasinzia kabisa Hao watu walimtokea wanamuita... mara wabadilike kuwa watu kabisa ambapo aliona kibibi kizee fulani cha kwao ( ni jirani yake) na mbaba wa makamu mara hapohapo wanabadilika kuwa kuku mara ng'ombe mara dude ambalo hata halieleweki hio siku alitoka nje Usiku mlangoni kwake akakuta kisu kina damuu .. hirizi nyeusi na tudawa dawa kama vumbi la mkaa..yeye pekee ndio anaviona Hivo vitu nyie wengine hata hamuoni! baby zu Kalpana
 
Ukisoma baadhi ya komenti Kuna vitu vinakujia kichwani, aidha baadhi ya watu ni washamba, limbukeni wa elimu, walugaluga au hawana exposure ya mambo ya filamu nk.
1. Wenzetu wanaanda filamu kwa muda waliopanga kwa sababu Wana bajeti, hapa mtu anasimulia kwa bajeti ya mihogo amabayo inabidi aitafute Kila siku, akichelewa kwa sababu alikuwa anahangaikia mihogo yake lawama na matusi kibao.
2. Ukiangalia hata movie za true story Kuna udambwi udambwi unaongezwa ili kunogesha stori, Sasa hapa msimuliaji akiongeza udambwi udambwi ni mwogo. Wakati unafurahia ukiona mtu kapigwa risasi 200 na mabomu 4000 au kachomwa panga tumboni limetokea mgonhoni lakini anaendelea kupigana
3. Story zetu hazipo written Bali ni kumbu kumbu ya kichwani kwa mkasa uliokutokea miaka kadhaa nyuma hivyo kusahau au kuchanganya matukio ni kitu Cha kawaida saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…