Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Unaweza kuta mnamsubiri msimuliaji apost episodes humu, Kumbe Big kashafanya yake.
Tunaposoma hii simulizi pia tuendelee kumuombea maana Big sio mtu mzuri[emoji23][emoji23]
Ulimisika sana madam, karibu tena.leadermoe kitalembwa alubati Tyrone Kaijage ERoni naombeni samaree ya tatu za mwisho wakuu pullliiizzzzzzzzzzzzzzz....
Hahaha sometimes huwa inakua hivo unaona mtu anatype mudaa hamalizi!! Halafu hata nilikua siandiki labda muda mchache nivomjibu Valentina hapo!Antonnia unaandika reply ndefu me nadhan ndo story😂😂😂
Asante wa vipaji nishakaribia! Naona Big kapatikana!Ulimisika sana madam, karibu tena.
Achana na pipo za Tanga madam, anapanda Nacharo leo saa saba, akifika usiku hadi kukuche kesho umeshapata joto ya jiwe.Asante wa vipaji nishakaribia! Naona Big kapatikana!
Niliwahi kusoma kwenye status ya jamaa flani kaandika "When you burn down 0ld one, New things grow up"... maana ukimaliza tatizo moja utakumbana na tatizo lingine ...
Kumbe ukipigwa ban kuna baadhi ya forum hauingii?[emoji848]Kule docho letu mezuiliwa kwa mwezi mmoja huku ilikua ya wiki Moja tu!!
Acha tuendelee kumsoma Big kipenzi!
Sema nimewamiss hadi naumwaaaa!!
Wasalimie sana watu wangu wanguvu [emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]!
ERoni
Hapana, sijasoma huko ila niliwahi kuishi kwa miaka kadhaa.Nje ya mada. Sorry, ulisoma first degre chuo Jo'burg, right? Nakufananisha na mtu.
Utakuwa ni mwizi weweHuyu msimuliaji ana vitu vifuatavyo:-
1. Ana kiasi kikubwa sana cha umbea, kuacha uaingizi saa tisa usiku kukaa dirishani kuangalia nani ataingia.
2. Ulinzi ungemfaa zaidi kuliko kazi anayofanya kwa sasa, haiwezekani ukeshe usiku kucha kulinda nyumba kwa niaba ya wapangaji wote ambao hawajakuomba.
Achana nae ukiona mtu anakereka na wewe kua makini kiusalama ujue ni muhalifuNimeeleza kwa kina lifestyle yangu na changamoto niliyokuwa nayo kwenye upande wa usafiri wangu na pia udhaifu wa makazi tulokuwapo.
Ungeweza kulala fofofo huku umeacha chombo ambacho hakipo locked na mahali pana kadhia ya vibaka mara kwa mara? Huku miundombinu ikiwa so rafiki?
Anyways mkuu, tunatofautiana maisha, akili na tabia.
Napokea vyote maua na mawe.
Hakuna mchaga anaitwa mollelMchaga akizimia usiteseke kumpepea we dondosha sarafu yoyote chap na haraka anazinduka
Yaani asimulie mnavyotaka nyie?Nadhan tumuache huenda huko mbele tutaelewa,lkn kuna matukio nikiyaunga kama mwanaume mwenye ndoa naona kuna namna angepaswa kutueleza,kwa mfano alivyosafiri angerud lzm angeongea na shemej yetu kujua kama zile purukushan ziliendelea au zilikoma,,ila anyway tunywe mtori.
Anadai kaniangalia anaona mweupe kwa hyo sina shida nikikaa nae, nikaona huyu ataniletea shidaAlitaka kukuingiza chamani huyo au hata kumjumuisha mtoto wako. Nini kilimfanya mpaka akatae mshahara na sio kurudi kwao. Au huko kwao kulikuwa na sekeseke balaa?
Achana nayo pita hiviUtake ama usitake sisi kusema ni lazima tu mkuu na ukiona unakasirika basi ujue wewe si muungwana. Cheki haya:-
A.Mke kwenye intro unae lakini Stori ilivyoanza hukuwa nae (na ikapendeza uwe huna mke). Kuna waliotetea kwamba mke alitajwa kwenye geti limefungwa na Bonge huku ukiwa bafuni. Labda wenzetu hawawezi kusoma maana ulisema ulisogelea madirisha ya waliokuwa ndani (majirani) na mpaka jirani mwenyewe akakuona kabla hujagonga Wala kumwita sasa hapo mke yukwapi?
B.Umesema mke hakukuwA na sababu ya kumtaja maana hakukuwA na sehemu ya mojakwamoja ya yeye kuingia mapema ikaendana na stori. Wakati huohuo umesahau Kuna Stori kibao umezirefusha ambazo basins muunganiko wa mojakwamoja na stori. Mfano story za agenda za mkutano mpaka zilivyowasilishwa, Stori ya mama Bembela, na mifano mingine
C.Unalala kesho yake lakini hakuna hata mke kukuamsha kwenye usingizi mzito. Unatulia dirishani si chini ya nusu saa lakini hakuna hata mke kushtuka siku moja na kushangaa hata akakuuliza kulikoni. Hospital sijui zahanati mkitaka kwenda mke hakushiriki hata kunyanyua gauni la jirani yake lisiingie kwenye tairi ya pikipiki.
D.Bembela ni jirani yako lakini tena Bembela ni mtoto wa huyohuyo jirani yako. Halafu walikuwa wanazozana lakini kumbe kutoka ni Bembela kamleta mtoto apigwe na kwa Big hayupo aliyetoka sasa sijui alikuwa anazozana na nani. Mtoto wa big ulisema ni chizi like lakini hapo mwisho umetaja watoto kukaongezeka tena kama chizi wa pili ambapo umesema mkeo hakuwa akimjua vizuri kwakuwa alikuwa akifungiwa (au ni Mimi nimeshindwa kusoma na kuelewa labda).
E.Kwa macho ya wanawake lakini mkeo hakuweza kuona mke wa Big anavyokukata jicho. Hakuandalii maji, chakula, hakupokei, Wala hamuagani ukitoka. Tufanye hakuwepo kikaoni basi au alisafiri Kipindi chote Cha mauzauza. Una Kazi Fulani unamalizia kwa Laptop lakini... au basi!
Kuna mtu alisema kadiri unavyoirefusha Stori ndo unavyozidi kuiharibu, nimeamini nilipofika sehemu ya 8. Labda tu niseme wazi Mimi sinaga tabia ya kufuatilia maseason au mastori yenye episodes lakini hii ilinivutia kuifuatilia nikaisoma yote. Kusema ukweli ilipofika kwenye unaenda kilabuni kutafuta mbege nikaanza kukosa mvuto ila nikajikaza nikijua mbele itarudi itakuwa nzuri lakini kwa mpaka kufikia sehemu ya 8 niseme tu safari imenishinda nakung'uta matako naaga mashindano rasmi.
Mtanipa summury mtakaomaliza yote