Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

i.Ulipona taya?
2.Bwana tarimo alipona,?
3.Mkeo na ujauzito wake alijifungua salama?
4.Kijana wako ulokuta nguo zake kwenye fuko la big anaendeleaje?
5.Kinacho kufanya uendelee kukaa hapo ni nini na majanga yote hayo?
6.Chumba cha big kilipata mteja?
@HOPECOMFORT

Hizi mbona zina majibu, au ulisoma ukiwa...

Namba 3. Alisema ujauzito ulitoka.

Namba 5. Mwanzo kabisa kwenye Episode ya kwanza ameandika alishahama zaidi ya miaka miwili iliyopita.
 
@HOPECOMFORT

Hizi mbona zina majibu, au ulisoma ukiwa...

Namba 3. Alisema ujauzito ulitoka.

Namba 5. Mwanzo kabisa kwenye Episode ya kwanza ameandika alishahama zaidi ya miaka miwili iliyopita.
Namba 3 sikuona kwakweli zaidi alipo ishia kuwa walikuwa kwa wazazi wa mollel.

No 5 nimeuliza kutokana na alicho andika kwamba bado alikuwa pale na mkewe alienda upareni so akawa anakula kwa Bembela....
Naomba majibu ya maswali mengine...
 
mamy, huo ndio uhalisia na ni bora mtoto amemaliza pengine Mungu amemuepushia na vingi mbele hatujui ya mbele, yanaanzaga hivohivo mara yamepiga mzinga
Mwili umesisimuka aisee, ni bora usijue uwe gizani tu
 
Naomba kuzisoma kuanzia sehemu ya nane .. na kuendelea sijabahatika kuziona..

Naomba mnitag niweze kuzisoma
 
Unitag boss
 
Big up
 
Mkuu steve shukrani sana tumejifunza na kuburudika kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…