Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,187
- 4,857
Nikusimulie kwa njia ipi mkuuNisimulie mimi nitauweka kwenye maandishi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nikusimulie kwa njia ipi mkuuNisimulie mimi nitauweka kwenye maandishi
Hiyo nayo changamoto aiseeNikusimulie kwa njia ipi mkuu
Mkuu Hebu fafanua kidogo hapo kwenye damu ya wachawi, maana Kila nyumba niliyohamia nilikutana na wachawi na walinitesa sana!! Mpaka sasa nipo home napo nimebaini jilani yangu mchawi sana. Yaani nyumba yetu kaigeuza kama yake.Mimi sina damu ya wachawi aisee na ndio maana huwa wananipitia mbali ingawa kisa ninacho
Ukiwa na damu ya wachawi utateseka mpaka kufa kwako
Una wenge. Hamna wachawi wanaokusakama.Mkuu Hebu fafanua kidogo hapo kwenye damu ya wachawi, maana Kila nyumba niliyohamia nilikutana na wachawi na walinitesa sana!! Mpaka sasa nipo home napo nimebaini jilani yangu mchawi sana. Yaani nyumba yetu kaigeuza kama yake.
Kuna siku nilikaa nikajiuliza??? kwanini Mimi Kila mahala ninapotua na kuweka makazi basi kama Kuna mchawi mahala hapo nageuka kuwa kitoweo chake.
Na siyo tu kumuona anapita mlangoni bila kufunguliwa Bali hata nipoenda kubisha hodi ktk kile chumba sauti iliyotoka mle siyo ya wahusika Bali ilitoka sauti ya yule msichanaOne mistake mkuu kesho uje usimulie ilikuaje ukaona live mtu anapita mlangoni na mlango umefungwa au kumuona wa sura yako kama ulivo na hamko mapacha!!
Duhhhh! Hatari sana hioNa siyo tu kumuona anapita mlangoni bila kufunguliwa Bali hata nipoenda kubisha hodi ktk kile chumba sauti iliyotoka mle siyo ya wahusika Bali ilitoka sauti ya yule msichana
Tupe story mkuuNa siyo tu kumuona anapita mlangoni bila kufunguliwa Bali hata nipoenda kubisha hodi ktk kile chumba sauti iliyotoka mle siyo ya wahusika Bali ilitoka sauti ya yule msichana
Sijui aliwapumbaza? Mwishowe eti jamaa mwenye kile chumba akatoka nakuanza kunikolomea eti wewe unataka Nini usiku wote huu? Nikamwambia kwanza samahani hivi mkeo alitoka kwenda chooni? Jamaa akasema hapana, nikamwambia nimemuona mtu ameingia humu ndani Tena ni msichana amevaa nguo ya kaniki pia nikamwambia hata chumbani kwangu nahisi kuna kitu kwani chumba nikizito sana na Kuna halufu za ajabu ajabu, naomba twende ukashuhudie, yule jamaa alinijibu kwa upole kwa kulitaja jina langu" saizi usiku sana wee Nenda kalale sawa, tutaongea kesho" Kisha akafunga mlango chaajabu akili ikaanza kunijia kumbe yule niliyekua naongea naye siyo muhusika wa kile chumba Bali alikuwa ni yule binti alijigeuza na kuvaa umbo la yule jamaa, Ambae ndiye aliyekua muhusika wa kile chumba na alikuwa anaishi na mkewe, aisee kiukweli sitakuja kuusahau usiku ule, kwani niliogopa kuingia chumbani kwangu kulala ingawa baadae wapangaji wenzangu baadhi walitoka nje na wote waliotoka walikuwa wanawake, then nikawahadithia lile tukio, Kuna dada mmoja alisikika akisema" ndiyo maana mwanangu amekua analia muda wote" nakweli kabla ya Mimi kutoka nje nikweli nilisikia yule mtoto analia na ndiyo kitu kilichonitoa ndani na Lengo nilitaka nikamwambie yule mama Ambae mtoto wake alilia kwa muda mure, ampake Kitunguu saumu kwenye Paji la uso. Hii dawa nilifundishwa na Mshana Jr Mshana J.Duhhhh! Hatari sana hio
Watakua washa kupiga mhuri wao wewe kila utapo enda .wana jua ni mtu wao[emoji81][emoji81]Mkuu Hebu fafanua kidogo hapo kwenye damu ya wachawi, maana Kila nyumba niliyohamia nilikutana na wachawi na walinitesa sana!! Mpaka sasa nipo home napo nimebaini jilani yangu mchawi sana. Yaani nyumba yetu kaigeuza kama yake.
Kuna siku nilikaa nikajiuliza??? kwanini Mimi Kila mahala ninapotua na kuweka makazi basi kama Kuna mchawi mahala hapo nageuka kuwa kitoweo chake.
Nawezaje kuitoa hii mihuri mkuuWatakua washa kupiga mhuri wao wewe kila utapo enda .wana jua ni mtu wao[emoji81][emoji81]
Duuu noma sana, tuwekee hii story tujifunze na sisi mbona balaa sanaSijui aliwapumbaza? Mwishowe eti jamaa mwenye kile chumba akatoka nakuanza kunikolomea eti wewe unataka Nini usiku wote huu? Nikamwambia kwanza samahani hivi mkeo alitoka kwenda chooni? Jamaa akasema hapana, nikamwambia nimemuona mtu ameingia humu ndani Tena ni msichana amevaa nguo ya kaniki pia nikamwambia hata chumbani kwangu nahisi kuna kitu kwani chumba nikizito sana na Kuna halufu za ajabu ajabu, naomba twende ukashuhudie, yule jamaa alinijibu kwa upole kwa kulitaja jina langu" saizi usiku sana wee Nenda kalale sawa, tutaongea kesho" Kisha akafunga mlango chaajabu akili ikaanza kunijia kumbe yule niliyekua naongea naye siyo muhusika wa kili chumba Bali alikuwa ni yule binti alijigeuza na kuvaa umbo la yule jamaa, Ambae ndiye aliyekua muhusika wa kile chumba na alikuwa anaishi na mkewe, aisee kiukweli sitakuja kuusahau usiku ule, kwani niliogopa kuingia chumbani kwangu kulala ingawa baadae wapangaji wenzangu baadhi walitoka nje then nikawahadithia lile tukio, Kuna dada mmoja alisikika akisema" ndiyo maana mwanangu analia muda wote" nakweli kabla ya Mimi kutoka nje nikweli nilisikia yule mtoto analia.
Hata nilipotoka ndipo nikagumiana na yule binti then akabadili rout na kwenda kuingia kile chumba ambacho hakikua cha kwao.
Basi ilibidi tusambaratike wao walinisisitiza niende nikalale kwani mpaka muda huo ilikuwa saa tisa(9).
Kiukweli niliogopa sana kuingia ndani ilinibidi nibaki nje pale pale Huku nikiwa nalandalanda mpaka majira ya saa kumi na moja(11) ndipo nikaingia ndani kiujasiri nikachukua hela ya kula kazini Kisha nduki
Sasa nikiwa natembea barabarani na kulikuwa kumepambazuka muda huo yaani kweupe, ghafla nikawa najihisi ni mwepesi sana kiasi kwamba nikawa naelea juu ya ardhi, jamani hii Dunia Kuna watu wanaujua uchawi aisee, basi ghafla nikajikuta nasinzia Huku natembea yaani usingizi mzito ukanivagaa Huku natembea
Kiukweli ni Mungu tuu alinilinda kwani uwezekano wa kugongwa na gari ulikuwa Mkubwa sana ni Mungu alinilinda, na nahisi walitaka kuniua kwa njia ile ili Siri isivuje waliamini kuendelea kuwepo ktk Yale mazingira wasingeishi kwa amani, kwani walishajua nimejua kuwa wao ni wachawi hivyo walitaka waniangamize ingawa ilishindikana,
Walikuwa waha wa kigoma, alikuwa mama wa Makamo Ambae alikuwa na watoto wakike watatu Huyu mmoja alikuwa anasoma, wengine wawili ailikuwa anasaiana nao kufanya ile biashara yake na ktk hao wawili mmoja ndiye kafundishwa uchawi na ndiye alikuwa anawatesa watu kwenye Yale mabanda.
Ghafla nilijikuta nguvu zinanirudia na ule usingizi ukakata yaani nikawa nipo kawaida kama siku zote ingawa nilipofika kazini Kuna vitu vilijitokeza
Na niseme kwa tukuo lile lilikuja kunisababishia matatizo makubwa sana mpaka sasa yananitesa nimehangaika kwa waganga baadhi nakushindwa kunitatulia.........
Mkuu nikipata wasaa nami nitakuja kuupolomosha huu mkasa" KILA NYUMBA NILIYOHAMIA NILIKUTANA NA MAUZAUZA YA WACHAWI"
Voice note whatsappNikusimulie kwa njia ipi mkuu
Aisee hiv vitu usikiage tu huko kwngne sio vikukute maana kha.Pole mkuu Usimuache Bwana wetu Yesu KristoSijui aliwapumbaza? Mwishowe eti jamaa mwenye kile chumba akatoka nakuanza kunikolomea eti wewe unataka Nini usiku wote huu? Nikamwambia kwanza samahani hivi mkeo alitoka kwenda chooni? Jamaa akasema hapana, nikamwambia nimemuona mtu ameingia humu ndani Tena ni msichana amevaa nguo ya kaniki pia nikamwambia hata chumbani kwangu nahisi kuna kitu kwani chumba nikizito sana na Kuna halufu za ajabu ajabu, naomba twende ukashuhudie, yule jamaa alinijibu kwa upole kwa kulitaja jina langu" saizi usiku sana wee Nenda kalale sawa, tutaongea kesho" Kisha akafunga mlango chaajabu akili ikaanza kunijia kumbe yule niliyekua naongea naye siyo muhusika wa kili chumba Bali alikuwa ni yule binti alijigeuza na kuvaa umbo la yule jamaa, Ambae ndiye aliyekua muhusika wa kile chumba na alikuwa anaishi na mkewe, aisee kiukweli sitakuja kuusahau usiku ule, kwani niliogopa kuingia chumbani kwangu kulala ingawa baadae wapangaji wenzangu baadhi walitoka nje then nikawahadithia lile tukio, Kuna dada mmoja alisikika akisema" ndiyo maana mwanangu analia muda wote" nakweli kabla ya Mimi kutoka nje nikweli nilisikia yule mtoto analia.
Hata nilipotoka ndipo nikagumiana na yule binti then akabadili rout na kwenda kuingia kile chumba ambacho hakikua cha kwao.
Basi ilibidi tusambaratike wao walinisisitiza niende nikalale kwani mpaka muda huo ilikuwa saa tisa(9).
Kiukweli niliogopa sana kuingia ndani ilinibidi nibaki nje pale pale Huku nikiwa nalandalanda mpaka majira ya saa kumi na moja(11) ndipo nikaingia ndani kiujasiri nikachukua hela ya kula kazini Kisha nduki
Sasa nikiwa natembea barabarani na kulikuwa kumepambazuka muda huo yaani kweupe, ghafla nikawa najihisi ni mwepesi sana kiasi kwamba nikawa naelea juu ya ardhi, jamani hii Dunia Kuna watu wanaujua uchawi aisee, basi ghafla nikajikuta nasinzia Huku natembea yaani usingizi mzito ukanivagaa Huku natembea
Kiukweli ni Mungu tuu alinilinda kwani uwezekano wa kugongwa na gari ulikuwa Mkubwa sana ni Mungu alinilinda, na nahisi walitaka kuniua kwa njia ile ili Siri isivuje waliamini kuendelea kuwepo ktk Yale mazingira wasingeishi kwa amani, kwani walishajua nimejua kuwa wao ni wachawi hivyo walitaka waniangamize ingawa ilishindikana,
Walikuwa waha wa kigoma, alikuwa mama wa Makamo Ambae alikuwa na watoto wakike watatu Huyu mmoja alikuwa anasoma, wengine wawili ailikuwa anasaiana nao kufanya ile biashara yake na ktk hao wawili mmoja ndiye kafundishwa uchawi na ndiye alikuwa anawatesa watu kwenye Yale mabanda.
Ghafla nilijikuta nguvu zinanirudia na ule usingizi ukakata yaani nikawa nipo kawaida kama siku zote ingawa nilipofika kazini Kuna vitu vilijitokeza
Na niseme kwa tukuo lile lilikuja kunisababishia matatizo makubwa sana mpaka sasa yananitesa nimehangaika kwa waganga baadhi nakushindwa kunitatulia.........
Mkuu nikipata wasaa nami nitakuja kuupolomosha huu mkasa" KILA NYUMBA NILIYOHAMIA NILIKUTANA NA MAUZAUZA YA WACHAWI"
Ahsante mkuuAisee hiv vitu usikiage tu huko kwngne sio vikukute maana kha.Pole mkuu Usimuache Bwana wetu Yesu Kristo
Duuuuuhhhh 😳😳😳! Pole sana mkuu kiukweli wachawi wanatesa sanaa! Itakua kuna jitu walifufanyia Kutokana na wewe kuwafahamu!!!Sijui aliwapumbaza? Mwishowe eti jamaa mwenye kile chumba akatoka nakuanza kunikolomea eti wewe unataka Nini usiku wote huu? Nikamwambia kwanza samahani hivi mkeo alitoka kwenda chooni? Jamaa akasema hapana, nikamwambia nimemuona mtu ameingia humu ndani Tena ni msichana amevaa nguo ya kaniki pia nikamwambia hata chumbani kwangu nahisi kuna kitu kwani chumba nikizito sana na Kuna halufu za ajabu ajabu, naomba twende ukashuhudie, yule jamaa alinijibu kwa upole kwa kulitaja jina langu" saizi usiku sana wee Nenda kalale sawa, tutaongea kesho" Kisha akafunga mlango chaajabu akili ikaanza kunijia kumbe yule niliyekua naongea naye siyo muhusika wa kili chumba Bali alikuwa ni yule binti alijigeuza na kuvaa umbo la yule jamaa, Ambae ndiye aliyekua muhusika wa kile chumba na alikuwa anaishi na mkewe, aisee kiukweli sitakuja kuusahau usiku ule, kwani niliogopa kuingia chumbani kwangu kulala ingawa baadae wapangaji wenzangu baadhi walitoka nje then nikawahadithia lile tukio, Kuna dada mmoja alisikika akisema" ndiyo maana mwanangu analia muda wote" nakweli kabla ya Mimi kutoka nje nikweli nilisikia yule mtoto analia.
Hata nilipotoka ndipo nikagumiana na yule binti then akabadili rout na kwenda kuingia kile chumba ambacho hakikua cha kwao.
Basi ilibidi tusambaratike wao walinisisitiza niende nikalale kwani mpaka muda huo ilikuwa saa tisa(9).
Kiukweli niliogopa sana kuingia ndani ilinibidi nibaki nje pale pale Huku nikiwa nalandalanda mpaka majira ya saa kumi na moja(11) ndipo nikaingia ndani kiujasiri nikachukua hela ya kula kazini Kisha nduki
Sasa nikiwa natembea barabarani na kulikuwa kumepambazuka muda huo yaani kweupe, ghafla nikawa najihisi ni mwepesi sana kiasi kwamba nikawa naelea juu ya ardhi, jamani hii Dunia Kuna watu wanaujua uchawi aisee, basi ghafla nikajikuta nasinzia Huku natembea yaani usingizi mzito ukanivagaa Huku natembea
Kiukweli ni Mungu tuu alinilinda kwani uwezekano wa kugongwa na gari ulikuwa Mkubwa sana ni Mungu alinilinda, na nahisi walitaka kuniua kwa njia ile ili Siri isivuje waliamini kuendelea kuwepo ktk Yale mazingira wasingeishi kwa amani, kwani walishajua nimejua kuwa wao ni wachawi hivyo walitaka waniangamize ingawa ilishindikana,
Walikuwa waha wa kigoma, alikuwa mama wa Makamo Ambae alikuwa na watoto wakike watatu Huyu mmoja alikuwa anasoma, wengine wawili ailikuwa anasaiana nao kufanya ile biashara yake na ktk hao wawili mmoja ndiye kafundishwa uchawi na ndiye alikuwa anawatesa watu kwenye Yale mabanda.
Ghafla nilijikuta nguvu zinanirudia na ule usingizi ukakata yaani nikawa nipo kawaida kama siku zote ingawa nilipofika kazini Kuna vitu vilijitokeza
Na niseme kwa tukuo lile lilikuja kunisababishia matatizo makubwa sana mpaka sasa yananitesa nimehangaika kwa waganga baadhi nakushindwa kunitatulia.........
Mkuu nikipata wasaa nami nitakuja kuupolomosha huu mkasa" KILA NYUMBA NILIYOHAMIA NILIKUTANA NA MAUZAUZA YA WACHAWI"
Yaani light ningejua Bora ningehama tuu!! Manaake dk za mwisho walichokuja kunifanyia, nimeteseka sana na mpaka sasa nateseka nacho. Yaani kwakifupi walitaka niwe chizi na walifanikiwa, sema nikawa najizuia sanaDuuuuuhhhh [emoji15][emoji15][emoji15]! Pole sana mkuu kiukweli wachawi wanatesa sanaa! Itakua kuna jitu walifufanyia Kutokana na wewe kuwafahamu!!!
Ukitulia utushushie mkasa mzima!!