Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Nadhani watu wengi humu si wenye kupenda kusoma hadithi za kwenye vitabu/novels kwahiyo hawajui hata story ina lenga nini. Nashauri watu wangerudi kwenye kichwa cha habari ya story
 

Nadhani watu wengi humu si wenye kupenda kusoma vitabu vya hadithi/novels na kuelewa, lengo la muandishi ni kuelezea nini? Nashauri watu warudie kusoma kichwa cha habari.
 
Napenda story ila nimechoka
Tuweke wazi Bigi mgangaa ama muuaji
Mxxiew
It's a mystery, na ndiyo inapendezesha na kutia hamu ya kusoma story. Kama wewe ni mpenda kusoma hadithi/novels za mystery/crime and investigation, utakuwa umenipata. Vitu vingine inabidi viwekwe mpaka mwisho ili na wewe upate hamasa ya kuendelea kusoma, kufikiri zaidi.
 
Naelewa
Japo some forms of suspense ni pure kero msomaji naweza acha
Suspense iwepo bt twende mbele
 
Sasa maisha ya aina hiyo yana raha gani? Unakuwa kama mfungwa tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…