Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

@
Nourhan pita hapa kuna madini mazuriiii
 
Mkuu Tunashukuru Sana KWA kushare na sisi kipande story hii muhimu......tumejifunza na kuelimika katika viingi juu ya mienendo ya maisha ya mwanadamu
 
Hicho kisa mbona sijawahi kiona, nime maliza soma hichi kisa cha jirani wa goba hakuwa mtu wa kawaida.
Natamani sana nisome na hicho cha steve tukibaki hai.
Naomba nitag kwenye hiyo story mkuu.
 
Hicho kisa mbona sijawahi kiona, nime maliza soma hichi kisa cha jirani wa goba hakuwa mtu wa kawaida.
Natamani sana nisome na hicho cha steve tukibaki hai.
Naomba nitag kwenye hiyo story mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…