Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Mmh mwamba nae atamfata tarimo
 
[emoji1417]
 
Uyu bubu nna mashaka nae[emoji23]
Ngoja tuone
 
No, kuna vitu vinaibua maswali, kwa sababu vinaweka pengo.
Ndiyo maana unawwza ukakuta tukio limatokea live lakini bado utajiuliza maswsli.
Hauwezi ukazuia maswali kichwani au kwenye simulizi kama hizi
 
Big ana mambo makubwa[emoji15]
ngoja tuone
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…