Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Siyo kuizungumzia tu. Kwenye simulizi zake za maisha yake pale haionyeshi popote kama familia yake ilikuwwpo pale.
Kuna sehemu anakuambia alipanda dirishani kwake ili awaambie walio ndani wamfungulie. Je,na hapo hajaihusisha familia yake?

Huenda msimuliaji hataki kuizungumzia family ili kuepusha mlolongo wa usimuliaji kuwa mrefu.
 
Siyo kuizungumzia tu. Kwenye simulizi zake za maisha yake pale haionyeshi popote kama familia yake ilikuwwpo pale.

Nyinyi ndio mnao direct bongomovie,mnaonesha mtu anaenda kuoga, anajifuta maji, anavaa, anafunga kamba kiatu, anatoka, anawasha gari gari inatembea dakika kumi anafika ofisini [emoji28]..

Family haiko katika muonekano wa script bado inaweza kuja kuonekana mbeleni huko
 
Back
Top Bottom