Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Epsode ya leo umezungumzia ugomvi kati ya mama bendela na mlango na epsode inayofuata utazungumzia boxer la BIG limechanika katikati kalipeleka kwa fundi cherehani bila kulifua anataka lishonwe na fundi cherehani akalilusha boxer kwenye uso wa BIG kwa hasira BIG nae akaondoka kwa taharuki huku nyuma akiachia ushuzi puuuuuh!! ambao ulikua na harufu kali sana ilipelekea fundi cherehani na wanafunzi wake kutimua mbio. Harufu ya ushuzi wa BIG ilitokana na kula vichwa vya mbuzi vilivyoharibika

NI UTANI TU WA KUNOGESHA UZI LETA STORY
 
Mkuu wangu soma vizuri. Mtoto aliyeumia si wa BIGI bali mtoto wa BIGI nilimtaja kuwa alikuwa dirishani akitazama wakati tunamhudumia huyu aloumia, na mtoto huyo aloumia sijamtaja jina lake zaidi ya kumrejea kwa kutumia jina la mama yake, yaani mtoto wa Bembela.
 
Mkuu ungekausha tu kujibu..wewe shusha tu episodes! Hawa wadwanzi tuachie sisi..
 
Shukran sana nimeelewa ngoja nisome tena.
story tamu sana usisahau kutupia kila siku yan kwa usimuliaji wa ep 1 mpaka ya 05 nimehisi kabisa nimepnga na big. Very touching. .
 
😂😂😂Fasihi simulizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…