Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Acheni ujinga enyi black people's stori Ni yeye na jirani na sio yeye na mkewe ,, mwengne angeanza zile stori za Mara nilivoachana na big nikaingia ndani nikakuta wife kapika akaniwekea maji ya kuoga nikaoga nikala nikamla na yeye bao nne siku hio alifurahi Sana nikamuomba tigo akakubali [emoji16] Sasa hio Ni stori inahusu jirani au wewe na mke
Ukitumia akili ya kawaida utajua umetetea ujinga
 
Tuendelee
Nikiwa nahema taratibu dirishani kulikuwa na mwanga hafifu nje. Ghafla nakaona mtu amekatiza nikakimbilia dirisha la magharibi mapigo ya moyo yanagonga kama ngoma.Nilipomkazia macho nikafungua mdomo taratibu ikatoka sauti nyembamba sana nikasema

Wewe nani?

Kumbe ni mke wangu...

Hii story iko mubashara ngoja nikaongèe naye kwanza
 
Binafs mm n mpenda story so iwe ya kutunga au kweli mm huwa naifatilia,kinachonikwaza n pale story ya kutunga inavyopewa jina la true story,

Kwenye hii story najiuliza inakuwaje una mke ndani alaf unafanya hekaheka zote hizo,sijaona sehem ukisema hata mke alikasirika au vp ulivyotoka nje usiku.
andika ya kwako,achana na hii.
NDIO MAANA WEWE SIO YEYE NA YEYE SIO WEWE,.....Human being always differ in almost every aspect of life
 
Acheni ujinga enyi black people's stori Ni yeye na jirani na sio yeye na mkewe ,, mwengne angeanza zile stori za Mara nilivoachana na big nikaingia ndani nikakuta wife kapika akaniwekea maji ya kuoga nikaoga nikala nikamla na yeye bao nne siku hio alifurahi Sana nikamuomba tigo akakubali 😁 Sasa hio Ni stori inahusu jirani au wewe na mke
😂😂😂
 
Mleta story endelea kukaza hivi hivi...wale wanaotaka mkeo awepo Kila episode waiendeleze wao iwe wanavyotaka....msalimie BIGI, Tarimo nae anaendeleaje?
 
Back
Top Bottom