Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
Tupo wengi kumbe..mimi hata movie nione kiss naonaga ina ujinga na utoto🚮..thats why sipendi moviesstory za ooh mara nikampapasa mbususu zinanichefua sana..naachaga kusoma kabisa
Hta movie ukitaka nisiangalie nione ila Sex scene ndani yake nachefukwa sana.
Acha na chakula, chumvi, pilipili, limao nk
Mke wa Mollel na pilipili wapi na wapi dogo?
Usijipe ufasaha usiouweza
Acha watu wafurahie hadithi, YOU CAN WRITE ABOUT MKE WA MOLLEL KWENYE HADITHI YAKO MBOVU NA YA KIJUAJI
Mkuu SteveMollel unapambana kurefusha story pasi na msingi wowote,matukio mengine hata siyo yakuandikwa inaweza kuwa fupi na credits ukapata vilevile.
Unaumiza kichwa bure, acha mara moja.
Author kakimbia thread wakuu wanamchapa maswali dah jf ni hatar.....!
Sitajibu hao raia watoe tu povu wawezavyo ila na ukweli usemwe Chief.Kwa huo ushauri wako kwa SteveMollel watakuja vidume wenye roho za ugwadu wakurarue, Ohooo wee shauri yako!!🤣🤣
AHapa ndani kuna watu hawana shukrani jamani hadi aibu.
Oooh mara hivi mara vile, Yani kama mtu anaona anajua sana kuandika atoe na yeye story yake tuone kama kweli ako na ubavu majitu mengine sijui yakoje aiseh.
Sasa huyu mke kiziwi alienda kwenye kikao kufanya nini? Au kulikuwa na mkalimani?Big kisanga anacho aisee (mke kiziwi na mtoto tahira) duh...
Ufutwe tuHii Episode ya 8 kusema ukweli hamna kitu... bora isingeandikwa kabisa. Vitu vinarukwa rukwa na kuchomekwa vingine kabla vya episode iliyopita havijatengemaa. Hapa issue ni BIG na yanayomhusu,hayo mengine ni kujaza server tu!
Unataka kila mbwa wa barabarani nisimame kumrushia mawe?Author kakimbia thread wakuu wanamchapa maswali dah jf ni hatar.....!
Mjinga mwingine huyu@Moderator
Ukitaka "usichapwe" maswali andika story yako yote mpaka mwisho ndio uitume hapa..😂😂 Vinginevyo maswali yatakuwa mengi sana. Kwa mfano mimi sijajua kuchukua dumu na process zote za kwenda kununua mbege na kuikosa ilikuwa na maana gani.Author kakimbia thread wakuu wanamchapa maswali dah jf ni hatar.....!
Ambao. Kazi yenu ni kukosoa andikeni na nyie story yenu tusome
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app