Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Story imejaa sana uongo, baada ya watu kuulizia mkeo naona Sasa umeanza kumchomeka kwenye story tena hata sehemu ambayo hakupaswa kutajwa.

UONGO
 
story ya huyu jamaa haina tofauti na series za kihindi. mara nyingi huwa na visa vingi ambavyo ni useless ktk movie. lengo lao ni kurefusha urefu wa series ili kuwe na episode nyingi.
 
Duuuuh!! Ndugu sasajiandae kisaikolojia maana wenye simulizi wamealikana hatimae timu imekamilika😂😂🤣
Nipo nawaza kama tutafka tamazi kwenye hii stori
 
Sasa huyu mke kiziwi alienda kwenye kikao kufanya nini? Au kulikuwa na mkalimani?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah nyinyi tuacheni sisi tumalizie episodes zilozobaki
 
Aisee nchi ina vijana hatari sana, walimtaka mke mke kawekwa wamesema kawekwa unnecessarily damn, jamaa kasema mkewe ana mimba Mf's watakuja sasaivi kusema mbona hukutuambia ulivyomkaza
akajaa, wanadamu hawana jema, and this is the true definition of the society we live in. The communities are fckd up, full of snitches and Mf's who always think of you negatively no matter what good you do to them, take it or leave it this country is full of b>ch a$$ ni66as. Somo la kujifunza, do whatever you do ila kumbuka in whatever you do YOU'RE ON YOUR OWN.... Remember that, always always...
 
Hoja yao wanataka wife awe anamuamsha jamaa, kumpelekea maji bafuni...mbaya zaidi wife kapika siku moja tu maharagwe ila hawajawahi piga msosi humo ndani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mbona ni mtiririko unaoeleweka jamaa alienda kununua mbege akakosa akabidi aanze kupiga bia kuja kushtuka saa mbili akaamua arudi home kupitia njia ya korongoni ndio akaona mifuko anayotupa big kwenda kuchek anakuta kichwa cha mbuzi na nywele nyewel + plus sh. 50. Hicho ni kipande muhimu kuendelea kumjua big ni mtu gani.
 
Watu mmekomaa na shemeji mwisho mtauliza huyo mke gani hamnyandui au dada yake, nakumbuka Kuna stori ya kijasusi ilileta humu mhusika alikuwa anaitwa Danny alikuwa anatembeza mnyanduo mpaka Kwa boss wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…