Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Na kuna sehemu yoyote nimekuandikia kuwa ni kweli? Au hisia zako tu?
Ndugu Mollel, nimepitia posts nyingi za chalenji humu na nimegundua wengi wao hawana nia mbayaukiangalia kwa jichola 3.
Nakushauri uwe na moyo wa kiume na uhesabu kama changamoto za kukufanya uwe bora zaidi katika utunzi au usimuliaji wako.

Mwisho; kuwa mwanaume usiyeondolewa kwenye lengo kirahisi
 
Kwa mazingira ya hadithi yenyewe (mazingira ya nyumbani) ilivyo haiwezekani aslani kuikwepa nafasi ya mke licha ya mara kwa mara kula kwa mama Bembela, kwa maneno mengine angalisema mkewe wakati huo alikuwa na udhuru gani kiasi kwamba ashindwe kumtaja lakini wakati huo huo amtaje mke wa Bigi, sasa huoni hivi sasa kashtukia mchezo/mapungufu na kaanza kumuhusisha mkewe!!, je huko nyuma huyo mkewe alikuwa wapi??
Unataka kuniambia baada tu ya watu kumsema hivyo haraka haraka tu akaenda kwenye uhariri wake na akaweka nafasi ya mwanamke,point yako haijakaa sawa,pia stori yetu sana inahusu maisha ya Big na yeye pia ndo nyota wa hadithi yetu.
 
NB:
SASA NAONA UMUHIMU WA UMUGHAKA AKIANZA SIMULIZI YAKE NA NENO "USINICHOSHE NISIKUCHOSHE HIVYO TUSICHOSHANE" BAADA YA HAPO WAPINGAJI WANAKUWA WACHACHE SANA NA WASOMAJI HUWA WANAISHI NDANI YA HUO MSEMO WA "TUSICHOSHANE"
 
Sijaelewa kabisa malalamiko ya watu humu..sasa mlitaka mke awekwe kila mahali ni lazima? Labda hakua na party kubwa ktk masimulizi haya..mbona kwny movie au tamthilia hawanywi chai,au hawaogi wala kupiga mswaki episodes zote mpk mwisho...mfano Kina Ottoman unakuta mke mjamzito haujawahi kuona wamelala pamoja..
 
Mkuu Steve hapa usisikilize mtu.Usijibu negative comments shusha aya,maana hata hao wanaotoa negative comments wanasoma na kuburudika sema tu mwishoni wanataka na mawazo yao yangekuwepo kwenye simulizi hii.Vile umeamua kupangilia simulizi yako hakupangii mtu,uzito wa wahusika unaujua ww,uzito wa tukio kufuatana na mwnenedo wa simulizi unaujua wewe,binafsi niko open kusikiliza chcht sabab ni simulizi amaby nataka kuijua hatma yake kutoka kwako na sio kwny mawazo ya wengine.

SHUSHA AYA.HUPANGWINGWI MZAZI[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
 
Ah...inakeraga...enzi zetu wewe hujazaliwa movie ni full ubabe undava undava ...kama yalikiwepo mapenzi basi ni kwa namna isiyochefua nafsi..enzi za kina cynthia...
Enzi zako gani ambazo mimi sijashuhudia hapa bongo? Au umezaliwa Ulaya wewe?
Usinidanganye Mrs Tundu Lissu😂😂
 
Mambo kama hizi zilinifanya mimi nikaachana na story yangu ‘Nilivyokwenda South Africa bila kuwa na ndugu wala rafiki kule’

Watu humu wana ujuaji mwingi wakati mtu anaelezea story ya kweli ya maisha yake
tusimulie basi story ilikuwa nzuri balaa
 
Na kuna sehemu yoyote nimekuandikia kuwa ni kweli? Au hisia zako tu?
Hisia zangu zipo sahihi. Hii story umeitunga kizembe, sio kwa sababu haulipwi kuandika story humu basi ndio uje na uongo. Tuliza kichwa, leta story ya kweli, Kama huna pita kushoto
 
story ya huyu jamaa haina tofauti na series za kihindi. mara nyingi huwa na visa vingi ambavyo ni useless ktk movie. lengo lao ni kurefusha urefu wa series ili iwe na episode nyingi.
Epesode zenyewe hazina maana
 
Sasa si wanataka atajwe...mbona hatuna jema binadamu....
Huyu ni muongo, toka mwanzo gakumtaja Ila baadae baada ya kuulizwa sana ndio akaanza kumtaja tena kwa sehemu ambazo hata hazina issue
 
Huyu ni muongo, toka mwanzo gakumtaja Ila baadae baada ya kuulizwa sana ndio akaanza kumtaja tena kwa sehemu ambazo hata hazina issue
Kwa hiyo mnataka atajwe au asitajwe?
 
Ndugu Mollel, nimepitia posts nyingi za chalenji humu na nimegundua wengi wao hawana nia mbayaukiangalia kwa jichola 3.
Nakushauri uwe na moyo wa kiume na uhesabu kama changamoto za kukufanya uwe bora zaidi katika utunzi au usimuliaji wako.

Mwisho; kuwa mwanaume usiyeondolewa kwenye lengo kirahisi
Hii ndio comment iliyo na kichwa,kiwili wili na miguu..
Azingatie haya uliomwandikia ,SteveMollel kauli yetu ni ile ile Bora uliwe na simba kuliko kuliwa na Samaki ,lete lomoni
 
Yani kuna watu wanajua kukatisha tamaa wenzao eeeh.
Comment zinaonyesha ni jinsi gani akili za watu zimetawaliwa na ngono.
Tuacheni ujuaji na ubinafsi muhusika mkuu kweny stry ni BiG lkn wapumbavu wengi wanataka mke wa jamaa ndo atajwe,
Mbona watu humu ndani washenzi kias hiki.

Kusoma haujalazimishwa iwe imetungwa au haikutungwa sasa kisebengo na kisedemnede cha nin alf sana wanaume ndo wanashobo kali kweli wakiitwa wenzetu wanachukia.
Ukiona stry ya mwenzio haifai tunga yako tuone kama utawezana punda maji ww.🤨🤨🤨🤨
 
Back
Top Bottom