Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Baada ya kuulizwa mke sasa hivi kila sehemu unampachika. Ngoja nikukumbushe lingine, dada wa kazi(beki tatu) vipi? Maana ni ngumu sana wapangaji wote hao na familia hizo kusiwe na yoyote mwenye dada wa kazi
Alishasema aina ya maisha ya hao wapangaji wenzake jmn,watu ilimradi mumkere tu mwenzenu. Alisema tarimo ana duka ila mke wake ni maza house, kuna yule boda na mke wake ambae jamaa ndio anapiga mishe ila mke ni wa home.
 
Unataka kuniambia baada tu ya watu kumsema hivyo haraka haraka tu akaenda kwenye uhariri wake na akaweka nafasi ya mwanamke,point yako haijakaa sawa,pia stori yetu sana inahusu maisha ya Big na yeye pia ndo nyota wa hadithi yetu.


Story ili iwe tamu ni lazima iwe na vionjo, kionjo cha nafasi ya mke (kwa mawazo yangu na ya wengine) hapo mwanzo kilikosekana kulingana na UKUMBI/scene wa matukio yaliyomuhusu stevemollel binafsi.

Mimi sikuwa mtu kwa kwanza kuona hayo "mapungufu" nadhani atakuwa kafanyia kazi baada ya watu hao kubainisha hayo mapungufu.
 


Wakati huo alikuwa "kapombeka"(kanywa pombe) au hukusoma vizuri??--- isitoshe kwa akili za pombe alidhani mle ndani ya kiloba kuna pesa na ndio maana alichuka ile sh 50, 100?? aliyoikuta ndani ya kiloba, hakuwa yeye wakati huo bali ilikuwa ni pombe, najaribu kuunganisha dots.🤣🤣
 

Where do you get energy to write all these points? Kwel wa Tanzania wana akili ila hawezi zibadili kjwa fursa.
 
Where do you get energy to write all these points? Kwel wa Tanzania wana akili ila hawezi zibadili kjwa fursa.
Wewe unajuaje kuwa hana Fursa? Hembu soma hadithi enjoy, then Tulia
 
Where do you get energy to write all these points? Kwel wa Tanzania wana akili ila hawezi zibadili kjwa fursa.


Na wewe nishati ya kumshutumu huyo ndugu umepata wapi??
 
Japo huwa sipendi wanaoleta ujuaji kwenye story za watu ila ndugu upo vizuri.
 
Unamuitaje mwanaume mwenzio mahari?
 
Hajawahah kumilik chombo .angewah angeona kama usingizi unakuja
Huwez kulala kizembe
 
Hadithi imekuingia vizuri hadi unavaa uhusika, safi sana.
 
Hiyo ni story tu usiichukulie kiukweli mkuu,[emoji1787][emoji1787]
Kuna mahali msimuliaji alisema ni story tu, lakini kwa mtoto aliyekufa anasema "nadhani watu mlioishi eneo hilo mnakumbuka vizuri kifo cha mtoto huyo kilivyoleta utata" Labda story ina ukweli kiasi na kuongezewa chumvi nyingi ili inoge.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…