Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Very interesting. Shilling "hamsini hamsini" nyingi zilizokusanywa kwa ajili ya pole ya bwana Kimaro na ile "hamsini" nyingine iliyodondoka kutoka kwenye kirobo kule korongoni....................endelea kutupa story tunasubiri
 
Maji kisoda maji hakuna yani ukifika wamama wameyakinga yooote aisee hata kuoga unaambulia nusu ndoo sasa apo ufanyeje gogo limetait mbaya
Duuu aisee noma sana,pole sana
 
Sio kila kitu inatakiwa ajibu mleta mada, yeye anayo kazi kubwa ya kutunga na kutuandikiia hadithi.
Mi naifatilia sio kama nimeacha! Ila napenda story za kweli sababu zinajenga katika kusonga mbele kupambana na haya maisha, sasa kunapokua na viashiria vya chai ndio namaind. Ila tupo pa1 fighter.
 
NIngekua wewe ningeshahama hapo muda mrefu, unavumilia mauzauza ya big hadi mimba ya wife unatoka
 
Basi mkuu nimeiona kwenye JF ya zamani. Hii mpya naona kuna shida mahala. Waheshimiwa wakuu wahusika,JF ya zamani iko vizuri sana,ni rahisi kufika,ni rahisi kufungua iko shap. Yaani kwa ujumla inaeleweka kuliko hii mpya
 
Unaweza dhani ni wanaume rijali kumbe machoko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…