Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Ilikua balaa mkuu nilikimbizwa nikarushiwa fuko nlilotupa mgongoni likanibwaga nikachezea kichapo raia wamechukua simu saa mkanda viatu soks kila kitu na ela kwenye suruali wanalazmisha nikawape laki mbili home au nile mavi yangu tukaenda mpk home nimevaa niko hoi mpk atm enzi hizo karibu na fire kwa mguu wanatimba nyuma mie mbele nikawapa chao wanasema nenda nikianza kwenda wananilamba fimbo aloo nlitoka nduki magetoni kusanya kila kitu vingine nimeacha nikaanza kuhaha usiku kutafta nyumba kummbuka sina simu nimevimba kote aisee zilikua siku tatu chungu ule mtaa sijapita tena
Nimecheka kifala sana....we jamaa
 
Mkuu wangu soma vizuri. Mtoto aliyeumia si wa BIGI bali mtoto wa BIGI nilimtaja kuwa alikuwa dirishani akitazama wakati tunamhudumia huyu aloumia, na mtoto huyo aloumia sijamtaja jina lake zaidi ya kumrejea kwa kutumia jina la mama yake, yaani mtoto wa Bembela.
Bwana mollel acha kudanganya watu umeshindwa kufupisha hbr yako hi mbona ya kawaIda Sana

Muige bwana DeepPond jinsi zege lake halilali unawachosha wasomaji nao walivyo mbumbu mbu nao wamejah mazima[emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Wakosoaji walitaka jamaa asimulie kua

, Wakati namnyandua mke wangu nikasikia kishindo nje nikachomoa rungu nikakimbilia dirishani, nilipoona hakuna kitu nikarudi nikaendelea kumpelekea moto mke wangu
😂😂😂 nawasiwasi utakuwa
Kuna maasai wa porini...njere na kuna masai wa mjini yaani maasai ma masai🤣🤣🤣
Masai wa mjini ameendelea sana amejenga kisasa mno, mfugaji wa zero grazing, na ni matajiri...ukoo wa Mollel ndio ukoo tajiri zaidi kuliko masai na maasai wengine kama akina Laiza, ma kivuyo.

Hivyo usimchukulie poa kivile🤣🤣🤣
😄😄 wenyewe wanasema "Sheeee"
 
Inachosha unaandika vitu havina hata maana , mpaka mtu unaburuza Aya nyingine

Mfano kulikuwa Kuna haja gani ya kufafanua umama ntilie wa bembela? Kuwa anauzia sehemu Fulani sijui anauza mpaka saa sita za usiku mara kubomolewa vibanda duuh!

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
Nilisoma sehemu mbili tu nikachoka nikamshauri aweke in summary I'lla anizikii nae anatafuta umaarufu hapa jamii forum Kama jamaa ake umughaaka

Una kazi sna bwana molleli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Nilisoma sehemu mbili tu nikachoka nikamshauri aweke in summary I'lla anizikii nae anatafuta umaarufu hapa jamii forum Kama jamaa ake umughaaka

Una kazi sna bwana molleli

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mimi kama kitu sikielewi wala sipotezi muda wangu hapo... Sasa wewe ushasoma ukaona huelewi siuende kwenye mada zingine??? Kwanini lkn mnakuwa binadamu msio na ufahamu....haya unaita wenzako wamfanye nini sasa!!!! Ebu jaribu kutuliza dunia maana nyie ndo mnafanya iyumbe
 
Hii Episode ya 8 kusema ukweli hamna kitu... bora isingeandikwa kabisa. Vitu vinarukwa rukwa na kuchomekwa vingine kabla vya episode iliyopita havijatengemaa. Hapa issue ni BIG na yanayomhusu,hayo mengine ni kujaza server tu!
Mueleze inhuyu bwan moleli sijui anawaonaje watu dah

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Utake ama usitake sisi kusema ni lazima tu mkuu na ukiona unakasirika basi ujue wewe si muungwana. Cheki haya:-
A.Mke kwenye intro unae lakini Stori ilivyoanza hukuwa nae (na ikapendeza uwe huna mke). Kuna waliotetea kwamba mke alitajwa kwenye geti limefungwa na Bonge huku ukiwa bafuni. Labda wenzetu hawawezi kusoma maana ulisema ulisogelea madirisha ya waliokuwa ndani (majirani) na mpaka jirani mwenyewe akakuona kabla hujagonga Wala kumwita sasa hapo mke yukwapi?

B.Umesema mke hakukuwA na sababu ya kumtaja maana hakukuwA na sehemu ya mojakwamoja ya yeye kuingia mapema ikaendana na stori. Wakati huohuo umesahau Kuna Stori kibao umezirefusha ambazo basins muunganiko wa mojakwamoja na stori. Mfano story za agenda za mkutano mpaka zilivyowasilishwa, Stori ya mama Bembela, na mifano mingine

C.Unalala kesho yake lakini hakuna hata mke kukuamsha kwenye usingizi mzito. Unatulia dirishani si chini ya nusu saa lakini hakuna hata mke kushtuka siku moja na kushangaa hata akakuuliza kulikoni. Hospital sijui zahanati mkitaka kwenda mke hakushiriki hata kunyanyua gauni la jirani yake lisiingie kwenye tairi ya pikipiki.

D.Bembela ni jirani yako lakini tena Bembela ni mtoto wa huyohuyo jirani yako. Halafu walikuwa wanazozana lakini kumbe kutoka ni Bembela kamleta mtoto apigwe na kwa Big hayupo aliyetoka sasa sijui alikuwa anazozana na nani. Mtoto wa big ulisema ni chizi like lakini hapo mwisho umetaja watoto kukaongezeka tena kama chizi wa pili ambapo umesema mkeo hakuwa akimjua vizuri kwakuwa alikuwa akifungiwa (au ni Mimi nimeshindwa kusoma na kuelewa labda).

E.Kwa macho ya wanawake lakini mkeo hakuweza kuona mke wa Big anavyokukata jicho. Hakuandalii maji, chakula, hakupokei, Wala hamuagani ukitoka. Tufanye hakuwepo kikaoni basi au alisafiri Kipindi chote Cha mauzauza. Una Kazi Fulani unamalizia kwa Laptop lakini... au basi!

Kuna mtu alisema kadiri unavyoirefusha Stori ndo unavyozidi kuiharibu, nimeamini nilipofika sehemu ya 8. Labda tu niseme wazi Mimi sinaga tabia ya kufuatilia maseason au mastori yenye episodes lakini hii ilinivutia kuifuatilia nikaisoma yote. Kusema ukweli ilipofika kwenye unaenda kilabuni kutafuta mbege nikaanza kukosa mvuto ila nikajikaza nikijua mbele itarudi itakuwa nzuri lakini kwa mpaka kufikia sehemu ya 8 niseme tu safari imenishinda nakung'uta matako naaga mashindano rasmi.
Mtanipa summury mtakaomaliza yote
Ndicho nilimuambia bwan moleli mapema tu nilifika epsod ya nne nikaanza kuona maruerue

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom