Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Basi mkuu nimeiona kwenye JF ya zamani. Hii mpya naona kuna shida mahala. Waheshimiwa wakuu wahusika,JF ya zamani iko vizuri sana,ni rahisi kufika,ni rahisi kufungua iko shap. Yaani kwa ujumla inaeleweka kuliko hii mpya
Mimi ilivyoanza tu hii mpya nikakosa hata kile kidude kinachoniruhusu kuandika thread,nimeishia kuwa mtu wa kuchangia threads za watu tu
 
Inaendelea...

Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.

Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi.
20230209_160443.jpg
 
Inaendelea...

Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.

Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi. View attachment 2511561
Dah dunia simama nishuke [emoji23] [emoji23]
 
Mimi ilivyoanza tu hii mpya nikakosa hata kile kidude kinachoniruhusu kuandika thread,nimeishia kuwa mtu wa kuchangia threads za watu tu
Hii mpya nafikiri labda haijaboreshwa,ila imewakimbiza sana wanaJF. Wengi haiwapendezi. Mimi siikubali kabisa. Ile nyingine ya zamani muundo wake tu ule ulikuwa unachangamsha sana vile ilivyo. Hii mpya nimejitahidi sana kuifuatilia lakini bado hainibariki kabisa. Niwaombe tu wamiliki wavumilie sana kwa sasa ile ya zamani iendelee kuwepo tu
 
Kumbe tunaoteseka ni wengi
emoji23.png
Watu wanaogopa tu kufunguka. Lakini hii mpya haikuvutii hata mgeni kujiunga. Inaonekana kama ni lidubwasha fulani lisilo na kitu chochote. Hata unapotype labda ku-reply mara irukie juu,mara ishuke.
Mimi nawashauri wakuu wanaohusika kama ni maboresho wayafanye kidogo kidogo kwenye ile ile ya zamani. Wakibadiri kitu wasubiri mpaka watu wakielewe na kukubariana nacho,wanahamia mbele
Kumbe tunaoteseka ni wengi[emoji23]
 
Back
Top Bottom