Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Yule mama uliyemsaidia hela hospital alikwambia kama wateja achana nao
Je alikuwa mgonjwa kweli au?
 
Uzii huu watu wengi wanaufatilia.lkn ingekuwa jamaa kaandika Uzi wa jambo LA maana au kuomba msaada wowote hakuna MTU angesapot zaidi ya kutukanwa na kukatiswa tamaa.wana jf tubadlike tuache kufatilia mambo ambayo pindi flni havitusaidii
We inakusadia nin?
 
Aisee mzee BIGI alikusogezea kuzimu hapo home
 
Kuwa na kazi binafsi,kulipwa au kutokulipwa haisuiani na nilichoandika unless hujanielewa nilichoandika
Huwezi kueleweka kama wewe mwenyewe huelewi, yaani aache shughuli zake aanze ku feed guts za watu? Nyie mbona mnakuwa kama watoto wadogo, we fanya kazi zako, uzi kama umekuwa miyeyusho pita hivi, kuna threads kibao za stori, nenda jukwaa la mapenzi, msitake kulalamika lalamika hapa, goddamnit!!
 


Sasa wewe ndiye wakili wa mwandishi?? Mbona yeye muandishi aliliona jambo hilo na akalifanyia kazi na ndio maana pia amemjumuisha mkewe kwenye story, kabla ya hapo hakuwemo katika story.

Kimsingi ni juu ya mwandishi kujibu au kutojibu maoni au shutuma juu ya hiyo story na si juu yako kumjibia kwani mimi na wewe ni wasomaji tu isitoshe maoni hata malalamiko au shutuma chanya ni njia moja ya kuifanya hadithi ipendeze, mambo hayo yakichuliwa chanya na mwandishi kama itampendeza yanaweza kuifanya hadithi ipendeze zaidi.

Take it as; Any opinion, criticism about a story is like a proofreading of a book before printing.
 
If you pay attention to every barking dog, we will lag behind.

Piga kazi Tivu akee, hawa kamati ya roho mbaya tuachie sisi chawa wako 😁😁😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…