Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,041
- 46,239
Asante sana dear
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante sana dear
Kiukweli ni mtihani sana, coments nyingi mno mpaka kuufikia muendelezo wa stori yenyewe ni mtihani mkubwa 😢Hii story ni nzuri sana sema imeharibiwa na comments za watafuta attention. Nimeshindwa kuendelea comments ni nyingi sana alafu zinaboa. Ile shortcut ya mwanzoni ilikuwa inasaidia.
yule alikuwa malaikaYule mama uliyemsaidia hela hospital alikwambia kama wateja achana nao
Je alikuwa mgonjwa kweli au?
Labda hivyo. Sema nitakuamsha 😅Akipost usiku sana nitakuwa nimeshalala
Kutokufatilia Mambo ya watuHivi stori kama hii unapata elimu gani
[emoji1787] Nipo nasubiri kuamshwaLabda hivyo. Sema nitakuamsha [emoji28]
Muuue [emoji28] [emoji28]Kwani hata uliye comment ume comment kwenye uzi wako? Shobo umeanza wewe, mnajifanya ma editor kwenye kazi ambazo hamjatolea hata jasho kuzitunga, unadhani anatumia mafuta? Ngima wewe
Sawa usijali 😅😅[emoji1787] Nipo nasubiri kuamshwa
Muuue [emoji28] [emoji28]
Nitajitolea kukutag akiwekaHii story ni nzuri sana sema imeharibiwa na comments za watafuta attention. Nimeshindwa kuendelea comments ni nyingi sana alafu zinaboa. Ile shortcut ya mwanzoni ilikuwa inasaidia.
Kelele Kwa tivuake😂😂😂😂Kutokufatilia Mambo ya watu
Kutafuta pesa niwe na kwangu KUEPUSHA madhika anayopata tivuakeee
Usijifanye huyaoni haya humu.Uliomba msaada ukatukanwa?
Huu muda uliopoteza kuandika hapa ulitosha kabisa episode moja.Leo majira ya usiku nitatuma tena BONUS. Haitakuwa ndefu saaana ila sitawaacha patupu.