Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Hii story ni nzuri sana sema imeharibiwa na comments za watafuta attention. Nimeshindwa kuendelea comments ni nyingi sana alafu zinaboa. Ile shortcut ya mwanzoni ilikuwa inasaidia.
Ukitaka kusoma stry usiitafute kwa mtiririko huo unayofanya lazima upotee nenda moja kwa moja kweny ID ya mtoa mada inakua rahisi zaid kwako.
 
Daah we jamaa unajua aisee, hii kitu ukisoma unatamani uendelee na uendelee. kimsingi imeshakua addiction na ofisini nikutafuta tu kama umeshaandika tena, tunaonekana tunafanya kazi kwenye compyuta kumbe tunashauku ya kujua bwana BIGI amefanya tukio gani, umetisha sana bro endelea kuandika kwakweli.............. hapa next episode ni lini tena sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…