Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Hii story ni nzuri sana sema imeharibiwa na comments za watafuta attention. Nimeshindwa kuendelea comments ni nyingi sana alafu zinaboa. Ile shortcut ya mwanzoni ilikuwa inasaidia.
Dogo acha uvivu kama comments tu zinakuchosha,nazan kuna wakati hata huwa huchambi unaposhusha gogo

Comments ndo zinampa nguvu msimliaji maana zinampa feedback kwa jinsi watu wanavyofatilia story yake,comments ni kama mashabiki uwanjani

Acha kuleta utoto wa mama mpaka kwenye nyuzi za wanaume,

Subiri shamba boy akuvunjie biskut ule ulale
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ndio hcho na mm nimesema...ss sijui maybe uzi ukiwa na comment nyng kuna somehow mleta uzi anafaidika au ndio kujulikana zaid au ni kutafuta attention.
Mnapenda vya bure na mnaleta mashariti,tulieni

Mtoa story sio mama yako umpangie utakacho,

Wale wenye malezi mabovu ndo wanaotaka mleta story afanye watakavyo

Hapa sio kwenu
 
Wapenda dezo wanawawakia wanaokosoa ili waonekane wa maana ila wakosoaji wana sababu za msingi
1. Kuhusu ni stori ya kutunga au ya kweli lazima wahoji maana mleta uzi tangu mwanzo alitaka kuaminisha ni stori ya kweli. Akiulizwa anasema kwani wapi kasema ni ya kweli? Title na mtiririko unaonyesha ulidanganya iwe ya kweli. Shenzi

2. Kuhusu mke, lazima wadau wahoji sababu mwanzo inaonekana alihamia kutafuta nafasi ya nyumba, ukisoma stori jamaa anaishi kibachela

3. Kuanzia episode ya 7 maelezo mengi yasiyo na maana na hili wengi wamelalamikia

4. Mleta mada asuse au aendelee haimuathiri yeyote, jf ipo kabla yake akitaka aache
 
sawa tumekuelewa bwana kipanga wa fasihi
 
BIGIIIIIIIII shenz zake
 
Kwa hiyo umejipinda ukaona hizo ndio point

Huna akili.
 
Mwandishi anamapozi sana siku za mwanzo aliangusha episod 5 sasa hivi moja tuu mpaka alalamike either useme unauza kitabu au uendelee kuangusha mfululizo
 
Hakuna sehemu aliposema ni ya kweli au ni ya uongo. Inaweza kuwa ni ya kweli au ya uongo sisi hilo sio jukumu letu kujua. Nahata ikiwa ya ukweli haitaongeza chochote.

Tunachohitaji sisi ni burudani hayo mengine hayana hata umuhimu. Pia nadhan kama unaona story inakukwaza achana nayo kasome za wengine mbona wapo wengi tu. Au kanunue kitabu tuone utakosoa wap.
 
Mwandishi anamapozi sana siku za mwanzo aliangusha episod 5 sasa hivi moja tuu mpaka alalamike either useme unauza kitabu au uendelee kuangusha mfululizo
Na mimi nasema aendelee hivyo hivyo kwani mnamlipa? Aandike asiandike fresh tu.

Aangushe mfululizo kwa malipo gani, why you people are so arrogant? Mpeni muda afanye kwa muda wake pressure yenu haisaidii
 
Na mimi nasema aendelee hivyo hivyo kwani mnamlipa? Aandike asiandike fresh tu.

Aangushe mfululizo kwa malipo gani, why you people are so arrogant? Mpeni muda afanye kwa muda wake pressure yenu haisaidii
Ni kweli, tukumbuke pia anamajukumu mengine muhimu kuliko hata kutubudisha sisi tena bureeee
 
Ni kweli, tukumbuke pia anamajukumu mengine muhimu kuliko hata kutubudisha sisi tena bureeee
Umeona eenh Watu tumekaa kimuwamba ngoma.. asifanye majukumu mengine akamoe kuweka episode ili kina mwafulani wakenue [emoji28][emoji28]
 
Sa unataka kulia nini
 
Pumzisha fuvu ilo,maana akili huna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…