Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Na mimi nasema aendelee hivyo hivyo kwani mnamlipa? Aandike asiandike fresh tu.

Aangushe mfululizo kwa malipo gani, why you people are so arrogant? Mpeni muda afanye kwa muda wake pressure yenu haisaidii
Nimesema kama vp auze kitabu tutanunua
 
Nimesoma kwa kina lakini dizaini NAONA kama kamba tu 😂 yani pamoja na misukomisuko yoote hujawai kumkumbuka mungu tu wewe kazi yako kuvuta pumzi ndefu kujipumzisha na kumfatilia bwana BIG pamoja yoote ulioyaona haujawai kumkumbuka wala kumuomba mungu kufanya maombi n.k
 
Mnampangia mtu na story yake? Hii NI simulizi Tu either ukweli au uongo someni mpate burudani

Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
 
Achague moja atoe nzima au asaeme muda gani ataangusha story. Mapozi mengine hayana maana kama anakitabu aseme tutanunua
 
Nitakushikisha ukuta bila mafuta wewe leta mazoea na mimi
 
Baada ya kuulizwa mke sasa hivi kila sehemu unampachika. Ngoja nikukumbushe lingine, dada wa kazi(beki tatu) vipi? Maana ni ngumu sana wapangaji wote hao na familia hizo kusiwe na yoyote mwenye dada wa kazi
Vijana mna nongwa sana [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…