Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Uzi umekuwa kijiwe cha kahawa watu wanapiga soga wengine wanapigana kamba tu.
 
We masai, huu uzi utakushinda muda na siku si nyingi. Na kwambia kama bro wako. Endelea tu, tukiwashushia maneno makali ili tuwaweke sawa mods wanafuta na kutuban. Sasa ngoja, wewe na wenzako mnaopenda kuanzisha story then mnakimbia

Watu mnapenda kulalama hamna subira mbona hamkupa hata zawad alivo kua anashusha kila sku
 
@DeepPond ndio best story teller jf
 
Hapo hospitali nimechanganyikiwa 😵😵
 
Mollel Mollel Mollel...stevemollel jana umezingua kwenye kuahidi uongo....n heri ukatu kimya siku ukiona inafaa kudondosha mzigo ndio udondoshe. Kwa uongo ule wa jana inatafsirka kuwa unatudharau.
S ameiga kutoka kwa umughaka mbona alianza vzr tu Sasa ameanza kuwadharau wasomaji

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Uchafu bana, uanaume ndio kuishi na kinyesi ndanbi chako na cha demu wako? kutupa mitaani... msitupe sifa mbaya wengine bana.
Huo ni uchafu dhahiri shahiri nlikuwa namzingua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…