ni wana tu wale wa kitaa dizaini kuna siku waliniona sasa wakaweka kambi kuniotea maana mama yeyo ana ndg zake pale walimwambia kina fulani walipiga mtu aliekuwa anakuja kusunda mavi kichochoroni asijue kuwa aliepigwa n shemla wake na hayo mavi na ya ndugu yake yapogo. so walivotajwa hao kina fulani nikajikuta nawajua ile ya kuwaonaga make walivkua wananibunda walikua wanasema mtu unasajili lain af una mambo ya kisengerema so ni kama tunajuana ila ile siku sikuwatambua kwa wenge la kipigo na kumbuka walinirushia fuko la puu mgongoni so nipo chapachapa hapo