Tuwekee namba mkuu......hv inachanganyaBaadae usiku, nitajitahidi tuendelee.
Andaa ya kwako full uileteInashindikana nini? Watu huwa wanaandaa story full then wanakuja kushusha tu.
Mkuu asante na ubarikiwe kwa mitiririko mizuri ya hadithi.Baadae usiku, nitajitahidi tuendelee.
Mkuu Inaonekana unapenda sana kunya yaani kiasi unajinasibu nako kuwa wewe ni mnyaji bingwa zaidi hadi unakunyia ndani unapokula na kupumzisha akili, mbali zaidi mnachangia mande hicho kitendo.....kama bado hujaanzaachana nayo mkuu mtunzi pozi nying itakutesa mi najuta kuisoma hapa tunataka kumuanzishia kampeni vistori vyake vikose audience tuone atajisimulia mwenyewe akwa anakunya au
Kazi Nzuri! Uzuri wako Bw Steve siku yako ina Masaa 27 [emoji1787] Usiku inawezakuwa Kesho JioniBaadae usiku, nitajitahidi tuendelee.
Thank you sisy
Kaka, mimi ni binadamu na ninaishi mazingira hayohayo ambayo nyinyi mnaishi na hii story sijaiandika nikaikamilisha kiasi niweze kuituma muda wowote ninaotaka, ni kwamba naandika na kutuma, hivyo muda mwingine naweza nikalenga kutuma muda fulani lakini nikatokea kushindwa kwasababu tofauti tofauti, sasa siwezi kufupisha ama kutuma nusu, nitalazimika tena nikipata muda niendelee kuandika kisha ndo nitume.Uzuri wako Bw Steve siku yako ina Masaa 27 [emoji1787] Usiku inawezakuwa Kesho Jioni
Mimi nakuelewa!
Mzee uandishi wako ni mzuri ndio maana watu wanaleta kelele mingi hapa, chakufanya wewe andika ukipata muda na sisi tutasoma tu kwasababu anaeijua hii story ni wewe. Usikubali watu na comments zao waanze kukulazimisha kufanya kitu ambacho hujadhamiria kaka. sisi tutasubiri tu, tunaingia ofisini tunacheki kama umeendelea kama bado tutasubiri tu na tukifika nyumbani tutacheki kwenye simu zetu kama umeendelea but kama bado wewe take your time na ufanye mambo yako then ukipata muda tuandikie tu cz tunasubiri kiongozi.Kaka, mimi ni binadamu na ninaishi mazingira hayohayo ambayo nyinyi mnaishi na hii story sijaiandika nikaikamilisha kiasi niweze kuituma muda wowote ninaotaka, ni kwamba naandika na kutuma, hivyo muda mwingine naweza nikalenga kutuma muda fulani lakini nikatokea kushindwa kwasababu tofauti tofauti, sasa siwezi kufupisha ama kutuma nusu, nitalazimika tena nikipata muda niendelee kuandika kisha ndo nitume.
Sio kila muda nakuwa na simu mkononi, na sio kila muda ninaotaraji kuwa na simu mkononi kwa muda wa kutosha basi inakuwa hivyo. I am not an automatic robot. Najitahidi kadiri na muda wangu kuja kumfurahisha huyo mtu anayenitukana matusi ya nguoni na hata wengine ambao hawajahi kucomment lakini wanapenda kusoma vilevile, kususa sio haiba yangu, na jambo hili nililianzisha mwenyewe, nitalimaliza mwenyewe. Muda mwingine ni aibu kusemasema kila kilichokukuta na unachopitia, unanyamaza tu then unaendelea, unawatazama watu ukiamini kilichowajaa ndicho kinachowatoka.
Asnte bwana SteveMollelBaadae usiku, nitajitahidi tuendelee.
Kaka, mimi ni binadamu na ninaishi mazingira hayohayo ambayo nyinyi mnaishi na hii story sijaiandika nikaikamilisha kiasi niweze kuituma muda wowote ninaotaka, ni kwamba naandika na kutuma, hivyo muda mwingine naweza nikalenga kutuma muda fulani lakini nikatokea kushindwa kwasababu tofauti tofauti, sasa siwezi kufupisha ama kutuma nusu, nitalazimika tena nikipata muda niendelee kuandika kisha ndo nitume.
Sio kila muda nakuwa na simu mkononi, na sio kila muda ninaotaraji kuwa na simu mkononi kwa muda wa kutosha basi inakuwa hivyo. I am not an automatic robot. Najitahidi kadiri na muda wangu kuja kumfurahisha huyo mtu anayenitukana matusi ya nguoni na hata wengine ambao hawajahi kucomment lakini wanapenda kusoma vilevile, kususa sio haiba yangu, na jambo hili nililianzisha mwenyewe, nitalimaliza mwenyewe. Muda mwingine ni aibu kusemasema kila kilichokukuta na unachopitia, unanyamaza tu then unaendelea, unawatazama watu ukiamini kilichowajaa ndicho kinachowatoka.
Noted sirKaka, mimi ni binadamu na ninaishi mazingira hayohayo ambayo nyinyi mnaishi na hii story sijaiandika nikaikamilisha kiasi niweze kuituma muda wowote ninaotaka, ni kwamba naandika na kutuma, hivyo muda mwingine naweza nikalenga kutuma muda fulani lakini nikatokea kushindwa kwasababu tofauti tofauti, sasa siwezi kufupisha ama kutuma nusu, nitalazimika tena nikipata muda niendelee kuandika kisha ndo nitume.
Sio kila muda nakuwa na simu mkononi, na sio kila muda ninaotaraji kuwa na simu mkononi kwa muda wa kutosha basi inakuwa hivyo. I am not an automatic robot. Najitahidi kadiri na muda wangu kuja kumfurahisha huyo mtu anayenitukana matusi ya nguoni na hata wengine ambao hawajahi kucomment lakini wanapenda kusoma vilevile, kususa sio haiba yangu, na jambo hili nililianzisha mwenyewe, nitalimaliza mwenyewe. Muda mwingine ni aibu kusemasema kila kilichokukuta na unachopitia, unanyamaza tu then unaendelea, unawatazama watu ukiamini kilichowajaa ndicho kinachowatoka.
Hasa shangazi yake 🤔Spoiler alert: Mama Bembela au shangazi yake amekufa!!