Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Mkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu

Yani humu kama una stress zote zinakwisha.
 
Epsode imekuwa fupi sana, jitahidi iwe ndefu kidogo japo unajitahidi sana maana hujavusha siku bila kuachia epsode
 
Ilikua balaa mkuu nilikimbizwa nikarushiwa fuko nlilotupa mgongoni likanibwaga nikachezea kichapo raia wamechukua simu saa mkanda viatu soks kila kitu na ela kwenye suruali wanalazmisha nikawape laki mbili home au nile mavi yangu tukaenda mpk home nimevaa niko hoi mpk atm enzi hizo karibu na fire kwa mguu wanatimba nyuma mie mbele nikawapa chao wanasema nenda nikianza kwenda wananilamba fimbo aloo nlitoka nduki magetoni kusanya kila kitu vingine nimeacha nikaanza kuhaha usiku kutafta nyumba kummbuka sina simu nimevimba kote aisee zilikua siku tatu chungu ule mtaa sijapita tena
HAhahahahahahaha. Duuh
 
Mtu analalamika na kutukana. Anaponda na kukosoa lakini washakimbilia kuja kusoma tena ili wakereke. Hii dunia bana [emoji1][emoji1]
Mleta uzi mwenyewe shabiki wa livakuku we popolewa tu mpaka upate adabu.
 
Back
Top Bottom