Teeeh, mkuu utakuwa umekaa kwa viti virefu, labda majiniaz tu ndio watakuelewa.Huyu jamaa mfuko mpaka akikaa kwa pavement Miguel inaning’inia
Naona walinogewaJirani zetu wa Kenya walikaribishwa sambusa na walizipenda sana wakaomba waongezewe yale maandazi ya nyama
Weka picha tuoneHuyu jamaa mfupi mpaka akikaa kwa pavement miguu inaning’inia
Huyu jamaa mfupi mpaka akikaa kwa pavement miguu inaning’inia
Hivi hua ni tofauti na hizo sambusa au ni ushamba waoNa maandazi ya nyama?
Kipindi niko kenya kabla sijawazoea nilikuwa nawacheka sana maana kuna vitu vingi sana hata hawavijuiLugha mkuu
Siyo ile hoteli pale Bamaga
Ndiyo hiyo mkuuHahahaa.
Ile ni kebbys bhana.
A curb (American English), or kerb (British English), is the edge where a raised sidewalk or road median/central reservation meets a street or other roadway.