Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Jun 4, 2018 #21 Sky Eclat said: Huyu jamaa mfupi mpaka akikaa kwa pavement miguu inaning’inia Click to expand... Oukeee! Kumbe ni vichekesho?
Sky Eclat said: Huyu jamaa mfupi mpaka akikaa kwa pavement miguu inaning’inia Click to expand... Oukeee! Kumbe ni vichekesho?
Shing Yui JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 15,168 Reaction score 38,049 Jun 4, 2018 #22 naumbu said: Kuna Mkenya alikua anaifagilia chipsi zege na mishikaki anasema kwao Kiambuu hamna hasa mishkaki Click to expand... Sio hivo tu. Huku Kenya ukiagiza chips mayai wanakuletea chips pembeni na yai pembeni.
naumbu said: Kuna Mkenya alikua anaifagilia chipsi zege na mishikaki anasema kwao Kiambuu hamna hasa mishkaki Click to expand... Sio hivo tu. Huku Kenya ukiagiza chips mayai wanakuletea chips pembeni na yai pembeni.