Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
Atazaa mapacha wenye afya1.nitanunua kiwanja
2.nitampa mwanamke ujauzito
3.mengine madogomadogo siwezi kuyasema yote.
Inshallah..MUNGU AKIPENDA maana hii NI Vita hatujui lolote tumtangulize Mungu mbeleAtazaa mapacha wenye afya
InshallahInshallah..MUNGU AKIPENDA maana hii NI Vita hatujui lolote tumtangulize Mungu mbele
Kumpa mwanamke ujauzito ni mafanikio?1.nitanunua kiwanja
2.nitampa mwanamke ujauzito
3.mengine madogomadogo siwezi kuyasema yote.
Ukitaka kujua ni mafanikio au si mafanikio nenda kwa Dr. JJ Mwaka ukaone hiyo foleni ya tasa na wagumba.Kumpa mwanamke ujauzito ni mafanikio?
Duh...kweli bro nimekubali..Ukitaka kujua ni mafanikio au si mafanikio nenda kwa Dr. JJ Mwaka ukaone hiyo foleni ya tasa na wagumba.