Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,914
- 168,320
- Thread starter
-
- #21
Tanzania tuna ardhi pana sanaView attachment 2062362
Kwahiyo nikihamia humu ndani mwenye hiii nyumba yeye anakuwa anahamia wapi? Au ndio anarudi kijijini kwao Ambangulu milimani?
Na ikawe hivyoMUNGU ATAZIDI KUNIPAMBANIA KWA KUWA NAMUOMBA KILA IITWAPO LEO
Haha hahah kwanini umejitabiria hivi?Ntapta demu mkali ila ntakoswakoswa kufumaniwa ntakimbia mbio hizi guest za manzese risk tupu
Mashalahah.Baada ya kujitabiria, nawaomba turudi tena 31/12/2022 kuhakiki utabiri wetu!!🙄🙄
amenNa ikawe hivyo
Mwaka huu 2022
Ninaona kabisa nikiacha betting
Mademu na kwenda club
pombe
hivi vitu naomba vinipitie mbal vimenirudisha sana nyuma
Hii kama umenitabiria mimi kabisa, Mungu akubarikiView attachment 2062324Natabiri mwaka 2022 utakuwa mwaka mzuri sana, mwaka wa mavuno kwa wengi.
Natabiri utakuwa ni mwaka wa kurejesha vyote vilivyoliwa kwa miaka mingi na tunutu, madumadu, nzige na maparare .
Utakuwa mwaka wa kufanya mambo makubwa, wengi ambao hawajawahi kumiliki magari wataenda kuyamiliki. Na wale ambao hawakuwahi kujenga, utakuwa ni mwaka wa ujenzi, mafanikio na maendeleo zaidi.
Mungu atayafuta machozi na hasara, hapo miaka ya uchungu itakoma.
ikiwa mwisho wa mwaka kama ivi mwka fulani kuna jmaa alinidhulumu pesa zangu huku akijifanya ni rafiki ila pesa hataki kunipa nikamwambia mwakani ntapata zaidi ya hyo kweli nkafuta namba nikamwambia tusitafutane kabisa ,miezi sita mbele nilipata mara 20 ya ile pesa na tangu hapo nikawa nimesogea mbele mpaka leoHaha hahah kwanini umejitabiria hivi?
usihahau puliMwaka huu 2022
Ninaona kabisa nikiacha betting
Mademu na kwenda club
pombe
hivi vitu naomba vinipitie mbal vimenirudisha sana nyuma
Mungu akusogeze tena mbele hatua 10000 zaidiikiwa mwisho wa mwaka kama ivi mwka fulani kuna jmaa alinidhulumu pesa zangu huku akijifanya ni rafiki ila pesa hataki kunipa nikamwambia mwakani ntapata zaidi ya hyo kweli nkafuta namba nikamwambia tusitafutane kabisa ,miezi sita mbele nilipata mara 20 ya ile pesa na tangu hapo nikawa nimesogea mbele mpaka leo
Na ukawe mkuu, ukatende makuu zaidiya uwazayo sasaHii kama umenitabiria mimi kabisa, Mungu akubariki
Kabarikiwe mara elfuamen
tuseme amiinMungu akusogeze tena mbele hatua 10000 zaidi
Amiintuseme amiin