Jitabirie namna mwaka 2022 utakavyokuwa kwako

Natamani kufungua duka la dawa za binadamu na vipodozi.
...... ... msiniuwe bure hela yenyewe sina
 
Mwaka 2022 natamani Afya yangu ya kiakili na kimwili iimarike zaidi..

Eeh mungu nisaidie
 
Natamani kufungua duka la dawa za binadamu na vipodozi.
...... ... msiniuwe bure hela yenyewe sina
Tufungue tu guest House, tukikosa wateja tunyanduane wenyewe
 
Ni mwaka ninaoenda kushika amri za Mungu, kuwa mchaji zaidi,kumcha Mungu zaidi na kuacha dhambi. Ni mwaka ambao nikijiona naacha kunywa beers na kurudi kwenye wine au hard liquor kidogo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…