Jitahidi kuchagua mwanamke sahihi wa kuzaa naye

Mambo ya wawili hayo.....
Mbona kajala enzi hizo hakuaga wa hivi na majani alimmwaga? Kaja kucharuka uzeeni!!!
I beg to differ Dada. Kajala enzi za uteenager wake alikuwa anafikisha hata wiki hajalala nyumbani kwao wala kwa ndugu na hajaaga , hili analikili yeye Kajala mwenyewe katika interview na salama Jabir. Ikumbukwe alikua anaishi kinyemela na P-Funk wakati aliotakiwa kuwa shule sekondari. Kwa maoni haya naona alikuwa mcharuko tangu kitambo.
 
Hayo ni mawazo yako unayotaka kuhalalisha. Ukitaka mwanamke sahihi wa kuzaa naye muulize baba yako na umsome mama yako kama unatoka kwenye familia yenye siha pande zote.
 
Akiwa na Alfan bado alikuwa analiwa pembeni na dogo mmoja mpemba mazake alikuwa na duka la viatu kariakoo.
 
Basi walikutana chupa na mfuniko, p funk asilaumu nae ni wale wale tofauti yao jinsia tu
 
Ni nadra sana MR RIGHT na MISS RIGHT kuoana, haijalishi elimu au kipato. Kila mja na mtihani wake
 
Hii kitu siyo kwa Wanawake tu hata Wanaume wenye tabia chafu wapo wengi sana.
 
Malezi yanategemea pande zote mbili (mama & baba) kama ikitokea mzazi mmoja akabana nwingne akalegeza ili halili mtoto anaishi na wazazi wote lazma matatizo yatokee tu. Lazma unapotaka kuzaa/unapoamua kuwa mzazi anza kujitathini ww mwenyewe tabia zako na tabia za huyo unaetaka awe mzazi mwenzako ili ujiandae kwa matokeo ya tabia za mtoto/watoto wenu
 
Sina experience ila ninaona p funk ajakosea chochote.. alipata wakufanana nae...... Kwa lugha ya kingereza wanasema UTAVUNA ULICHO PANDA
 
Bado sioni kosa la P-Funk hadi hapo, alishindwa kuishi na huyo Kajala wakaachana... mtoto kalelewa na mama’ake.

Ni watoto wangapi makahaba tunaowajua?

Paula ndo kwanza mwanamme MMOJA tu mshaanza kumsakama, amekuwa KAHABA mwenye tabia chafu.... mlitaka awe malaika asiliwe?
 
Wanaume msiojiamini mna matatizo sana, dunia iliumbwa tuzaane na tuongezeke wewe unaleta hadithi zako eti usizae na yule kah.
Nilijua tuuu haka kadada katacomment cariha cariha Tanzania kuwa na Mtu kama huyu mwenye elimu lkn hana ujuzi katika maisha yake ni tatizo pole kwako na kwa generation

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…