Afisa_Nkai
JF-Expert Member
- Jul 5, 2025
- 504
- 1,071
Wakuu Mimi Niko salaama, salama sijui ninyi huko, turudi kwenye uzi
Siku moja Nguli wa falsafa bwana Socrates, siku moja alitewa habari na shushu, snitch pindi alipokuwa ofisini kwake,
Bwana Socrates alimwambia hivi snitch ambaye alikuwa mwanafunzi wake kwamba kabla ya hujanipa hizo habari, basi hakikisha hayo unayotaka kuniambia umeyapima katika hatua hizi tatu,,
I. Socrates alimuuliza mwanafunzi wake huyo hivi, je maneno uliyoniletea ni ya KWELI (TRUE), na Kama ni ya KWELI,
II. Je maneno hayo ni MAZURI (GOOD), na Kama maneno hayo ni MAZURI
III. Je maneno hayo unayotaka kuniambia Yana UMUHIMU (IS IT USEFUL), Kisha akamalizia kwa kusema Kama habari uliyoniletea imekidhi hayo mambo matatu niliyoeleza basi uko huru kunambia, mwanafunzi alikosa Cha kuzungumza ndipo alipo amua kuamka na na kurudi darasani, Hio inaitwa (tripple filter test).
Hekima yake
Pindi unapopata taarifa yoyote kukuhusu wewe, jamaa zako au mtu mwingine yeyote basi jaribu kupima na kutambua uzito wa taarifa hio.
No reform No election.