Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Narudia tena Mungu awape ufahamu kulijua neno la Mungu wapendwa.
Kuna jirani yangu ni mpenzi sana wa mahubiri ya redio. Akajichanganya kasikia kanisa moja huko buza, alipofika no 1 kumwona nabii akaambiwa shida zake zinahitaj gharama kubwa, aliemloga ametumia hela kubwa kaambiwa atafute 300,000.
Dada akaja kuniomba ushauri nkamwambia mi sijawahi amini manabii wanaosema njoo ofisini mapema sijui ana watu wengi usi na usi...kumb 13:5_9
Nikamwambia sijawahi sikia manabii wach maarufu kama kina marehemu kulola ama yule wa assmblies of God waanzilishi hawakuwahi kuita waumini vyumbani
Jihadhari na matapeli wapendwa nenden mkasome neno la Mungu mjue Mungu hata mkiwa na shida kuna maandiko ya magonjwa umasikini simamien kwa maombi mtatoka. Hawa wanaotaka kukuona kukusaidia mpaka utoe pesaa kimbieni.
Bible iko wazi mmepewa bure toeni bure, haya mambo ya sijui umelogwa sanaa umepigwaa sana kwa gharama ati na wewe utolewe gharama ili uombewe.
Jiulizeni sana kwa hili hasa wamama, mmekuwa misikule ya hawa watu hukuu mkiishia kuwa masiikiniiii.