Jitahidi usizoee jambo hili utaabika. Nimejilaumu sana

Wataalamu wanasema choo cha kuchuchumaa ni kizuri zaidi ya cha kukaa kwa sababu, kuchuchumaa kunakusababusha uondoe haja yote kwa ule mkao.

Pia, wanasema vyoo vya kukaa ni moja ya sababu za kuongezeka kwa bawasiri (hemorrhoids).

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyie ndo mnafanya wanaume wa dar tudharaulike sana yaani unaweza kuja hapa kuanzisha uzi eti unaona ugumu na maumivu kuchuchumaa kwa mda mdogo wa kunya tu jmn umeniboa sana aisee usirusie siku mingine sawa au kama vip futa huu uzi bhana


Labda inamchukua muda mrefu kumaliza kunya kutokana na ugumu wa kimba basi anajikuta anaumia😀😀😀
 
Shwaini! Usirudie kuandika upuuzi wewe ni chizi wa kurogwa !
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Teheteheeee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Thread imeisha


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mazoezi mepesi mepesi ni muhimu haswa kwa watu wasiofanya kazi zenye uhitaji wa nguvu nyingi.
.
 
wewe sema tu kwamba unahitaji kupanguswa huko chini mbona unazunguka mnoo??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…