Jitahidi uwe na uwekezaji pembeni hata kama umeajiriwa, Haswa katika vitu vigeni kwa mtu wa kawaida

stakehigh

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
40,702
Reaction score
41,213
Kama hukubahatika kuzaliwa katika familia tajiri basi karata yako iliobaki ni kuwekeza katika nyanja mpya za kibiashara, hata kama haina hesabu za faida kwa saahv ila wewe wekeza, kwa mfano kuna mtu anaweza akawa na nia ya kufanya biashara basi wekeza chochote kwenye hio biashara huezi kuja ya mbele, pia unaweza wekeza katika securities kama Hisa, Crypto coins zote hizi outcome zake mbelen ni 50/50

usiwekeze katika vitu vyenye constant return mfano Bonds, pia usifanye risk kama betting na pia hakikisha umri wako unakuruhusu kuona miaka 10 mbele
 
Viwanja, mashamba,nyumba,Fremu mifugo kwa mbali nk!
 
Back
Top Bottom