wacha suala la mbali na nyumbani watu tuna vyoo chumbani ndo tuna kunya humo na hakuna nuksi tunapeta tu acha imani za kishirikinaKunya ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kunya ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani. Jitahidi uwe unakunya sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi na majanga yaliyo mwilini uwe unayatolea mbali na sehemu unayoishi ili yasije kukurudia tena. Ukibanwa na haja kubwa usisubiri mpaka ufike nyumbani, tafuta chimbo utoe nuksi na mikosi mbali na nyumbani ili ujikinge mikosi uliyoitoa mwilini isikurudie.
Sasa hapo si inabidi utoe tumbo kabisa ulitupe mbali🤣maana ata ukinya bado yanakuwepo mengine- huu ni ushirikina kama ushirikina mwingineKunya ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kunya ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani. Jitahidi uwe unakunya sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi na majanga yaliyo mwilini uwe unayatolea mbali na sehemu unayoishi ili yasije kukurudia tena. Ukibanwa na haja kubwa usisubiri mpaka ufike nyumbani, tafuta chimbo utoe nuksi na mikosi mbali na nyumbani ili ujikinge mikosi uliyoitoa mwilini isikurudie.
Hii ni ilmu ahera ama ilmu duniya?Kunya ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kunya ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani. Jitahidi uwe unakunya sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi na majanga yaliyo mwilini uwe unayatolea mbali na sehemu unayoishi ili yasije kukurudia tena. Ukibanwa na haja kubwa usisubiri mpaka ufike nyumbani, tafuta chimbo utoe nuksi na mikosi mbali na nyumbani ili ujikinge mikosi uliyoitoa mwilini isikurudie.
ccm haiondolewi kwa makaratasi ya kura kwenye boksiAfrika ni ya waafrika tu ...
Kwa hiyo tusiwe tunakula shehe? ...
Maana vyakula tunavyokula ndo vinalaana au?
Hakika CCM kamwe haiwezi kuondoka madarakani.
Haya mambo ukiya complicate unaweza ona maisha yetu ni meaningless. Kinyesi ni taka mwili tu ambazo hazihusiani na imani yoyote zaidi ya kuhakikisha unakuwa na afya nzuriKunya ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kunya ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani. Jitahidi uwe unakunya sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi na majanga yaliyo mwilini uwe unayatolea mbali na sehemu unayoishi ili yasije kukurudia tena. Ukibanwa na haja kubwa usisubiri mpaka ufike nyumbani, tafuta chimbo utoe nuksi na mikosi mbali na nyumbani ili ujikinge mikosi uliyoitoa mwilini isikurudie.
Wenye vyumba vya choo ndani inakuwaje ?Kunya ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kunya ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani. Jitahidi uwe unakunya sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi na majanga yaliyo mwilini uwe unayatolea mbali na sehemu unayoishi ili yasije kukurudia tena. Ukibanwa na haja kubwa usisubiri mpaka ufike nyumbani, tafuta chimbo utoe nuksi na mikosi mbali na nyumbani ili ujikinge mikosi uliyoitoa mwilini isikurudie.