Jitahidi uwe unaenda haja kubwa mbali na nyumbani

Kukata gogo ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kukata gogo ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani.

Jitahidi uwe unaenda kufanya haja kubwa sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi na majanga yaliyo mwilini uwe unayatolea mbali na sehemu unayoishi ili yasije kukurudia tena. Ukibanwa na haja kubwa usisubiri mpaka ufike nyumbani, tafuta chimbo utoe nuksi na mikosi mbali na nyumbani ili ujikinge mikosi uliyoitoa mwilini isikurudie.
Comments reserved
 
Kwanini uteseke??

Kama unachokitoa ninMikosi, Nuksi na Balaa basi ina maana ninwewe ndiye uliyekiingiza...kwa maana akiingizacho mtu ndicho kimtokacho...

Hakikisha unaingiza kisicho najisi ndani yako..na kamwe hautotoa unajisi...utakuwa ni uchafu wa kawaida....
 
Mbona mmekosea tena kuandika? Sio kwa... Ondoeni neno kwa. Turudi kwenye mada, hizo ni imani za kipuuzi, hakuna mtu anayependa kujaziwa choo na watu wengine ndio maana vyoo vya uswahilini muda mwingi vimefungwa kwa kufuli kuzuia wapita njia kujisaidia. Mikosi gani hiyo inayotoka kwa kujisaidia haja kubwa kama si imani za kishenzi na ushirikina?
 
Kujisaidia hovyo hovyo nje hususani vichakani na mapagarani kumepigwa marufuku na mamlaka za afya, watu wanalazimishwa kuwa na vyoo vyao wakajisaidie huko
 
Kukata gogo ni moja ya kutoa uchafu mwilini. Katika mambo ya kiroho kukata gogo ni moja ya kutoa mikosi, nuksi na majanga katika mwili wa binafamu. Kwa maana hiyo watu tunashauriwa usipendelee kunya nyumbani.

Jitahidi uwe unaenda kufanya haja kubwa sehemu tofauti ili kama unatoa mikosi, nuksi na majanga yaliyo mwilini uwe unayatolea mbali na sehemu unayoishi ili yasije kukurudia tena. Ukibanwa na haja kubwa usisubiri mpaka ufike nyumbani, tafuta chimbo utoe nuksi na mikosi mbali na nyumbani ili ujikinge mikosi uliyoitoa mwilini isikurudie.
Halafu tukichelewa kufika kwenye nchi ya Asali na Maziwa tunaanza kumtafuta mchawi, ilihali sisi wenyewe ndio tatizo.

Wakati wenzetu wanaendelea kuvumbua vitu sisi tuendelee kutafuta majimbo ya mbali ya kukata magogo
 
Mbona mmekosea tena kuandika? Sio kwa... Ondoeni neno kwa. Turudi kwenye mada, hizo ni imani za kipuuzi, hakuna mtu anayependa kujaziwa choo na watu wengine ndio maana vyoo vya uswahilini muda mwingi vimefungwa kwa kufuli kuzuia wapita njia kujisaidia. Mikosi gani hiyo inayotoka kwa kujisaidia haja kubwa kama si imani za kishenzi na ushirikina?
Ignorance
 
Back
Top Bottom