Jitahidi uwe unaenda haja kubwa mbali na nyumbani

Comments reserved
 
Kwanini uteseke??

Kama unachokitoa ninMikosi, Nuksi na Balaa basi ina maana ninwewe ndiye uliyekiingiza...kwa maana akiingizacho mtu ndicho kimtokacho...

Hakikisha unaingiza kisicho najisi ndani yako..na kamwe hautotoa unajisi...utakuwa ni uchafu wa kawaida....
 
Mbona mmekosea tena kuandika? Sio kwa... Ondoeni neno kwa. Turudi kwenye mada, hizo ni imani za kipuuzi, hakuna mtu anayependa kujaziwa choo na watu wengine ndio maana vyoo vya uswahilini muda mwingi vimefungwa kwa kufuli kuzuia wapita njia kujisaidia. Mikosi gani hiyo inayotoka kwa kujisaidia haja kubwa kama si imani za kishenzi na ushirikina?
 
Maisha ya Mwafrika yana mambo mengi sana. Hadi kunya kuna mtaala?
 
Kujisaidia hovyo hovyo nje hususani vichakani na mapagarani kumepigwa marufuku na mamlaka za afya, watu wanalazimishwa kuwa na vyoo vyao wakajisaidie huko
 
Halafu tukichelewa kufika kwenye nchi ya Asali na Maziwa tunaanza kumtafuta mchawi, ilihali sisi wenyewe ndio tatizo.

Wakati wenzetu wanaendelea kuvumbua vitu sisi tuendelee kutafuta majimbo ya mbali ya kukata magogo
 
Ignorance
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…