ibra87 R I P Joined Jul 22, 2015 Posts 5,614 Reaction score 5,351 Jul 31, 2016 #1 Usiache kuchagua kitakacho kupa maisha mazuri kwa maisha yako yote, kwa kukimbilia mazuri ya muda mfupi. Kuwa makini sana
Usiache kuchagua kitakacho kupa maisha mazuri kwa maisha yako yote, kwa kukimbilia mazuri ya muda mfupi. Kuwa makini sana
SniperBoi JF-Expert Member Joined Feb 3, 2016 Posts 1,103 Reaction score 1,129 Jul 31, 2016 #2 Maisha hayako hivyo siku zote kupata usichotaka ni rahisi.
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Aug 1, 2016 #3 Mtafute sana Elimu wala usimuache aende zake